.............hehehe sasa ukorofi wangu uko wapi mkuu, au wewe unaamini ni mwanamke?We kumbe ni mkorofi hvyo...embu nitafute nikuchape
Nsamehe kama nimeshawahi kukukosea popote paleInterview hii haina lolote ndo maana wanachangia
brain is the beautiful part of the body.
Interview hii haina lolote ndo maana wanachangia
brain is the beautiful part of the body.
...........Nsamehe kama nimeshawahi kukukosea popote pale
Am sorry sorry bro!!
Ubarikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nsamehe kama nimeshawahi kukukosea popote pale
Am sorry sorry bro!!
Ubarikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehe just a joke mkuu. Dont panicmkuu signature yako imebeba ujumbe mzito sana !mbn za nyuma ulikua husemi haya !leo hii ndo unaiona haina kitu ! binafsi mie geniveros sikua namjua undan wake kwanza nilijua hana mtoto au hajaolewa kbs !hebu acha bas !
'brain is the beautifu part of the body'
"Hata ukipita kwenye maji watasema unawatimulia vumbi" by JPMInterview hii haina lolote ndo maana wanachangia
brain is the beautiful part of the body.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] imebidi nicheke thank uHaha binamu ana nyota ya mashela jamani
Usipanic mkuu...utani tuNsamehe kama nimeshawahi kukukosea popote pale
Am sorry sorry bro!!
Ubarikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha binamu ana nyota ya mashela jamani
Daaah hii chance ya mpunga tena ulininyima mimi....Divorced ila soon watakula mpunga tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
"Hata ukipita kwenye maji watasema unawatimulia vumbi" by JPM
Mkuu unaonekana una tabia hizo
Kitu hakikuhusu lakini kudis haujambo
Daaah hii chance ya mpunga tena ulininyima mimi....Divorced ila soon watakula mpunga tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu signature yako imebeba ujumbe mzito sana !mbn za nyuma ulikua husemi haya !leo hii ndo unaiona haina kitu ! binafsi mie geniveros sikua namjua undan wake kwanza nilijua hana mtoto au hajaolewa kbs !hebu acha bas !
We daudthefarmer sijui the nani hizi laana zitakutembelea omba msamaha haraka ohoooo[emoji3] [emoji3]
Shuleni ulikuwa mwanafunzi Wa aina gani primary Na secondary[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] imebidi nicheke thank u
Sent using Jamii Forums mobile app
We daudthefarmer sijui the nani hizi laana zitakutembelea omba msamaha haraka ohoooo[emoji3] [emoji3]
Weee na binamu ana moyo wa kupondeka huyo. Kwa kweli Mungu amjalie furaha teleeeeee. Kuna watu wanautumia msemo huo as excuse ya kuendelea kuwa abused hadi wafwariki wawaache watoto wao wanateseka + wakiwa. Na wanaume wanatumia huo msemo kuabuse wake zao wakiamini hawawezi kuondoka au hawatopata watu wa kuwapenda kwa dhati tena na hivi wameshazaa. Kumbe kuna mwingine huko anajiuliza "ulikuwa wapi miaka yote hiyo"ahhaa wanasemaga ukiachika utaend wapi? hahah huwa nadharau sana watu wa kuongea shit za namna hii !hongera zake
Anazingua tu huyo han lolotesamahan km sijamwelewa !basi ana utan mbaya sana !anywys tuendelee
Hakua maskin alikua wa kawaida tu muajiriwa baadae akaingia in business ndo tukanyanyuka mpk naweza sema ni nyota au maelewano yetu na mchango wangu mkubwa kwake ndo maana tulifanikiwa sanaKwani ulimkuta maskini nyota yako ikamtajirisha!
Labda ulifanya uchunguzi pengine alipata hawara!
DJ sepetu