Geniveros interview on muosha rungu live show!

Mmmh wewe si ndo unasema Unachepuka kwa heshima? Ukija kuachwa ndo uje utuletee vifungu "alichokiunganisha Mungu". Mungu alikwambia nyie wawili mtakuwa mwili mmoja au aliwaambia nyie wawili na wengine mtakaowaleta mtakuwa mwili na nusu? Huyu ameondoka tu physically, the day her husband slept with another woman ndo officially ndoa yao ilivunjika spiritually. Kinachowaunganisha mke na mume ni kukaa nyumba moja au? Lile agano lenu mbele ya Mungu na wanadamu ndo mlihehimu, kama utashindwa kuliheshimu then hakuna ndoa hapo, ni roommates tu mnaishi
Hicho kifungu inabidi wachungaji waanze kukifundisha upya vyema kabisa na wawaeleweshe watu maana yake, maana ndoa nyingi zimevunjika ila watu wanaishi pamoja.
 
Na nyie mnacheat kama hamna akili nzuri nowadays ingawa wanaume tumetulizana
 
Hicho kifungu inabidi wachungaji waanze kukifundisha upya vyema kabisa na wawaeleweshe watu maana yake, maana ndoa nyingi zimevunjika ila watu wanaishi pamoja.
Kabisa, tena ikiwezekana watu wakaage tu na open relationships. Maana kusumbua tu Wachungaji kufungisha ndoa huku mtu anajua kabisa ataishi na wanawake 10
 
Back
Top Bottom