Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

Ni kweli Heaven. Mume mtarajiwa hana mke.Bado Geni ni 30 yrs. Watoto 2. Mume mpya atahitaji watoto.
Amejipangaje kuhandle situation hiyo?
Mzazi mwenxiye akitaka kuwaona wanawe atamwambiaje mume mpya?
Hayo mambo nafikiri walishadiscuss wenyewe vizuri tu wakakubaliana. Plus geni anajua alipotoka, sidhani kama anaweza kufanya upumbavu wowote wa kuhatarisha ndoa yake. Afu kinachonipa matumaini ni kwamba geni ndo aliamua kumove out of that relationship. Ni hivi kuoa/kuolewa na single parent ni challenge kubwa especially kama mzazi mwenza wa kike hajamove on, ni tatizo kubwa sana. Ila kama mwanamke amemove on then hakuna threat kwenye ndoa yake au ya ex mumewe.

Najua huamini kuwa inakuwaje a fresh man, kwenda kuoa a single mom of 2, ila I guess kwenye interview umepata picha kuwa mume wa geni had a taste of paradise and lost it. She is still someone's dream woman. Angekuwa single dad ndo anataka kuoa, hata usingekuwa na doubts. Binamuuuu nakuaminia mama, Mungu awatangulie siku zote, can't wait kufinya ubweche. For every Future, there is a Russell.
 
Back
Top Bottom