GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

Haaaaa...
1697745510304.png

Umejitengenezea id nyingine ya kujishobokea...
 
Asante kwa Credits zako japo najua na nina uhakika ( kutokana ) na Uzoefu wangu mkubwa hapa JamiiForums kuwa huu Uzi umeuanzisha kwa Mkakati Ovu dhidi yangu.

Lengo lako Kuu la huu Uzi wako halikuwa kumtaja Mshana Jr bali ni Mimi GENTAMYCINE na kumuweka Yeye ni Kuzuga tu ukidhani Mimi ni Mpumbavu na Mnafiki kama ulivyo.

Nina uhakika hii ID yako ambayo ni mpya hapa JamiiForums ni ya Mmoja wa Maadui zangu Wakubwa na umeanziaha huu Uzi kwa Lengo Ovu.

Najua hapa umetutaja Watu Wawili ( na Mshana Jr ) ila sitoshangaa Kuona 99% ya Members Watasema hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE na hawatosema ni ya huyo Mtajwa Mwenzangu mwingine hapa.

Uzi huu Umeuanzisha Makusudi ( Kimkakati ) kwa Kushirikiana na Wapumbavu Wenzako mnaonichukia ili baadae muanze Kuuchangia kwa ID's zenu Kongwe hapa JamiiForums na muanze Kunishambulia, Kunidhalilisha na Kueneza kuwa ni ID yangu na nimeianzisha ili tu nijisifie na nipate Sifa.

Moderators wa JamiiForums Cookie, Paw, YinYang, Mhariri, Boqin, Diversity, Bridger, Active, Moderator, JamiiForums na JamiiForums Founder Maxence Melo nasikitika sana mara kwa mara nimeshawaomba mkiona tu nasnzisha Mada za Kinafiki kama hii ( ambazo zinajifanya Kunisifia ) muwe mnazizuia kwani huwa hazina Lengo zuri nami ila kwa sasa mmeuachia huu Uzi hadi umefikia Ukurasa wa Nne ukienda wa Tano.

Na labda kupitia huu Uzi niwaombe Members wote wa JamiiForums hapa kuwa GENTAMYCINE sikujiunga hapa ili mnipongeze Kinafiki kama hivi au mnisifie. Tayari nimeshapongezwa, nimeshabarikiwa na nimeshasifiwa na Mwenyezi Mungu tokea ananiumba hivyo zinatosha hivyo sizihitaji zenu hizi na acheni Kujipendekeza Kwangu Kunakopitiliza kwani Mnaboa na Kunikera pia.

OMBI MUHIMU KWA UONGOZI WA JAMIIFORUMS

GENTAMYCINE nimechoka sasa ( na hata huko nyuma nilishawaombeni hili ) kuwa kila ID itakayokuwa Inanisifia hapa JamiiForums upesi sana inahusishwa nami ( kwamba ni yangu ) na nimeianzisha ili Kujisifu.

Hivyo basi nawaombeni ( na najua Uwezo huo mnao kutokana na Utaalam wenu ) tafadhali zichunguzeni hizi IDs zote ninazohusishwa nazo na mkizigundua Kweli ni zangu ( nina Multiple UDs hapa ) nawaombeni msiishie tu KUZIFUTA bali nawaombeni na nimewaruhusu MNIPE ADHABU YOYOTE KALI ambayo mtaona inanistahili.

This is too much and I'm fed up with it. And please let this Thread be removed as I requested.

I'm done....!!
Mkuu kulikoni tena, uzi uanzishe wewe na kufuta uombe wewe.Aaaah brazaaa
 
Sasa wanapewa tuzo gani mbona haijasemwa ndio hiyo ya kutongoza uliyosema? Kwahiyo wamekutongoza vizuri ukakubali ndio utawapa hiyo kama tuzo
Swali : umewaona wapi?
 
Back
Top Bottom