adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Kama mtu wa kiume kuamua kuigiza kama mwanamke ni hatari sana ,maana anaweza kuchukulia masihara ila ubaya unaweza kumgeukia akawa katika yale anayoigizaAcha ujinga!!,narudia tena acha ujinga!!simama kwenye zamu Yako kama mwanamme