GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Fukuzeni Murtaza Mangungu, Salim Abdallah Mhene 'Try Again', Abbas Mratibu wa Timu, Mtani wangu wa Kihaya Meneja Rweymamu, Mtani wangu wa Kiha na Rafiki yangu Kocha Msaidizi Matola na badilisheni Dereva wa Basi la Simba SC halafu kuanzia sasa achaneni na huyo Mganga wa Kienyeji ambaye ni mwana Yanga SC lia lia japo Mechi zenu nyingi za Kimataifa na baadhi za Ligi kawasaidia kwa Kushirikiana na Kiongozi mmoja Mwandamizi wa Dini ya Kiislamu.
Najua huyu Mganga wa Kienyeji mwana Yanga SC mnamtumia kwakuwa ni Mjomba wake Mwenyekiti Murtaza Mangungu ila GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nawaonya leo kuwa ACHANENI nae rasmi na turejee kwa yule Bibi wa Zanzibar, yule Kijana wa Morogoro, yule Kijana wa Mbeya na si vibaya pia tukaendelea kumtumia yule Babu wa Kigoma japo huwa mnapenda mno Kumdhulumu.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE bhana Malaika wa Kizanaki, Kiyao na Kitutsi na sina Mpinzani bado katika Taarifa za Ndani na za uhakika za Kimichezo Tanzania na ndiyo maana nikawa MSHINDI hapa JamiiForums wa Jukwaa la Michezo (Sports)
Kudadadeki......