Gentamycine arudishwe jukwaa la sport limepoa na linaboa

Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri
Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka limepoa

Moderator mrudisheni
Kulikuwa na wakongwe zaidi kabla yake siku hizi hawapo ama hawachangii. Na wala hakuna tofauti. .Endelea na ratiba zako.
 
Hii imecgangia kwa Simba badala ya kufanya usajili mdogo kwenye ili dirisha dogo la usajili wamefanya usajili mkubwa kwenye dirisha dogo la usajili.

Lile dirisha kubwa ilibidi waweke kambi Uturuki angalau timu ikawq na afadhali, sasa ili dogo hakuna muda wa kuweka kambi sijui tutegemee nini wa uongozi walichokifanya.
 
Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri
Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka limepoa

Moderator mrudisheni
Naunga mkono hoja. Kwani alifukuzwa kwa sababu gani?
 
Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri
Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka limepoa

Moderator mrudisheni
Badala ya kuomba moderator awafungulie jukwaa lenu maalumu la wambeya, wanafiki, wazushi, na waongo, unakuja kupiga kelele za kumtaka mtu. Si ukamfuate alipo kama unataka akuchangamshe. Jukwaa la michezo ni jukwaa kwaajili ya kupeana taarifa za kimichezo, uchambuzi wa kimbinu na kiufundi. Hili sio jukwaa la uchonganishi.
 
Punguza majungu na roho mbaya
Kukubali mtu flani anajua jambo flani zaidi ya wengine haikupunguzii kitu bali ndo uhalisia
Kumbuka majungu sio mtaji
 
Sasa kama unajua majungu sio mtaji kwanini unafagilia majungu?
 
Back
Top Bottom