Kulikuwa na wakongwe zaidi kabla yake siku hizi hawapo ama hawachangii. Na wala hakuna tofauti. .Endelea na ratiba zako.Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri
Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka limepoa
Moderator mrudisheni
Naunga mkono hoja. Kwani alifukuzwa kwa sababu gani?Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri
Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka limepoa
Moderator mrudisheni
Badala ya kuomba moderator awafungulie jukwaa lenu maalumu la wambeya, wanafiki, wazushi, na waongo, unakuja kupiga kelele za kumtaka mtu. Si ukamfuate alipo kama unataka akuchangamshe. Jukwaa la michezo ni jukwaa kwaajili ya kupeana taarifa za kimichezo, uchambuzi wa kimbinu na kiufundi. Hili sio jukwaa la uchonganishi.Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri
Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka limepoa
Moderator mrudisheni
Punguza majungu na roho mbayaBadala ya kuomba moderator awafungulie jukwaa lenu maalumu la wambeya, wanafiki, wazushi, na waongo, unakuja kupiga kelele za kumtaka mtu. Si ukamfuate alipo kama unataka akuchangamshe. Jukwaa la michezo ni jukwaa kwaajili ya kupeana taarifa za kimichezo, uchambuzi wa kimbinu na kiufundi. Hili sio jukwaa la uchonganishi.
Phri ndo popoma?Tulikua tunampenda Phiri kwa sbb labda anatabasamu muda wote..hatujui huko kambini alibehave vipi..kwa sbb walikua wanampiga benchi sana..walimu wote walimwanzisha benchi so maybe kuna tatizo..
Sasa kama unajua majungu sio mtaji kwanini unafagilia majungu?Punguza majungu na roho mbaya
Kukubali mtu flani anajua jambo flani zaidi ya wengine haikupunguzii kitu bali ndo uhalisia
Kumbuka majungu sio mtaji
Daaah acha tuuu....kumbe nilibugi π π π π
Acha ujinga wako wewe.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo we uoni jukwaa limepooza sana