Gentamycine is on again jf kuchele

Gentamycine is on again jf kuchele

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Yule kijana mwenye makeke mengi kuliko wote humu jf amerudi Tena baada ya mapumziko ya lazima ya mwaka mpya Sasa naamini jf itachangamka Tena upyaaa ukiwa na stress nenda kamsemee hovyo mzee kijana gentamycine matusi utakayopata stress zitakwisha .

Pia naamini wale waliodhani Mimi ni mzee baba genta wataamini kwamba Mimi na genta ni watu wawili tofauti wanaotofautiana kiakili na kila kitu Kama ardhi na mbingu.
 
ww ni mkewe ?
 
Kama una stress kamtag halafu kamtemee mbofmbof Yuko online sasahivi atakachokujibu uje utupe mrejesho
 
Nawewe toka umeacha kutuletea madini ya kina Brutus Aristotle Marius Aurelius Michelangelo nk umekuwa popoma tu
Oooopppsss...!!
Ngoja nitajaribu kurudia kuwa naleta.
Lakini watu si hua hawapendi mastory hayo.
 
Comment zako adimu kama passport za TZ
I'd zenu zimejijengea heshima kwa Mada murua toka mbichwa ulivyojaa sifa madem wanakukimbilia kwa madini mototo na nondo kiwango kimeshuka kweli mademu sio watu wazuri wamemfanya da Vinci kuwa Kama jingalao na kawealumni popoma wewe!
 
Hahhaaaa.. umenifanya nicheke kweli. Ngoja nijitafakari lakini.. imenigusa
 
A
Oooopppsss...!!
Ngoja nitajaribu kurudia kuwa naleta.
Lakini watu si hua hawapendi mastory hayo.
Aliekuambia hatupendi Nani? Watu zile ndio nyuzi zetu food of brain Sasa hazipo Tena ndio maana tunaandika upopoma
 
Yule kijana mwenye makeke mengi kuliko wote humu jf amerudi Tena baada ya mapumziko ya lazima ya mwaka mpya Sasa naamini jf itachangamka Tena upyaaa ukiwa na stress nenda kamsemee hovyo mzee kijana gentamycine matusi utakayopata stress zitakwisha .

Pia naamini wale waliodhani Mimi ni mzee baba genta wataamini kwamba Mimi na genta ni watu wawili tofauti wanaotofautiana kiakili na kila kitu Kama ardhi na mbingu.
Wewe ni Genta,punguza upopoma..
 
Ile Mada ya Michelangelo vs davinci kwenye sclupturing ni Kati ya nyuzi Bora kabisa za jf nilipenda pale jamaa alipolichonga lile jiwe la Mable halafu akaliuliza mbona huongei?????
Sasa umeacha zile Mada za kijinias acha cc tuanzishe Mada zetu za kipopoma zenye viwango vya kigentamycine
 
Back
Top Bottom