Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe popoma hata shule Kuna vipindi vya physics mathematics na michezo au maigizo kungekuwa na mathematics tupu popoma Kama wewe ungekimbia shule mapema sanaYaani mtu anasifiwa hapa JF kwa kuwasemea wenzake mbovu mbovu badala ya kusifiwa kumwaga elimu ya maujuzi humu? Au mimi ndio sijaelewa!
Umasikini kitu kibaya sana aisee! mtu anakua na stress mpaka anakua anatukana watu hovyo utafikiri sisi ndio tumempa umasikini!Wewe popoma hata shule Kuna vipindi vya physics mathematics na michezo au maigizo kungekuwa na mathematics tupu popoma Kama wewe ungekimbia shule mapema sana
Pia I'd yaAch
Acha upopoma kapuku wewe
Ulikuwa ni wwNina damu ya ban nikikujibu sawia nitarudi mwezi wa sita mnanichokoza makusudi ili Nile ban Sasa sichokozeki kirahisi labda nikuulize swali mwalimu mkuu mama yako au sio ni shangazi yako?
Ana nyingine inaitwa Eagle Eye.Pia I'd ya
Clever bright ni yako
Tatizo ukitumia I'd tofauti mnafanya makosa madogo madogo ambayo yanawafanya mgundulike hususani kwenye uwasilishwaji wa mada zenu na matumizi ya maneno
Ndio Mimi ni popoma kama ulivyosema huwa matusi kwangu kawaida embu isome I'd yangu ndo utajua [emoji3]
Acha ujinga genta
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16]Mbona unamfanyia sana promo.. Angalia wabongo hawachelewi kukuzushia ufirauni