LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #381
Don't mention my name in vain.Usinitoe katika ' reli ' tafadhali sawa? Ukitaka hapa amani irejee tumia huu huu Uungwana wako anza kuwaambia walionianza kuomba ' po ' Kwangu akiwemo muanzisha huu Uzi LIKUD ndipo nami nitaweka Silaha zangu chini ila wasipofanya hivyo ' Vita ' yangu nao haitopoa na itakuwa endelevu.