Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Bana wee akija yule bwana,sijui atabebwa kwa mbeleko ganiBomu limetegwa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bana wee akija yule bwana,sijui atabebwa kwa mbeleko ganiBomu limetegwa.....
Atapandisha mori.Bana wee akija yule bwana,sijui atabebwa kwa mbeleko gani
Nasikia anakuja na chopa....Akija hapa genta sijui mtajificha wapi
Wamechokoza mizimu ya kitutsi ,we waacheAkija hapa genta sijui mtajificha wapi
Watamtambua gentaWamechokoza mizimu ya kitutsi ,we waache
Kumbe jamaa ni mwakapimba??Naona mnamchokoza andunje.
Hahaa. Namchukulia kama mtu fupi bz mbwembwe na fujo alizo nazo hazitofautiani sana na zile za watu wafupi.Andunje Yule wa kigamboni?
Hahaa. mwakapimba ndio nini mkuu?Kumbe jamaa ni mwakapimba??
Buhahahahahahaha..Angekuwa muha angekuja kujibu fasta coz kiha ni kirundi na Kirundi na kinyarwanda ni kama kisukuma na kinyamweziGENTAMYCINE Huyu jamaa ni Muha mnapoteza tu mda wenu
Wamekosa vyakufanyaGENTAMYCINE Huyu jamaa ni Muha mnapoteza tu mda wenu