Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Hawaan
emu acha kutudanganya!! Wanasemaga UFITE INGENGA BITEKEREZO
 
Hawaan
emu acha kutudanganya!! Wanasemaga UFITE INGENGA BITEKEREZO
Urakoze cyane..by the way nimeiandika kama inavyo tamkwa..

Kama vipi funguka maana yake kwa faida ya wana jf wote ...Cause Genta amesha prove kuwa yeye sio mnyarwanda..
 
Urakoze cyane..by the way nimeiandika kama inavyo tamkwa..

Kama vipi funguka maana yake kwa faida ya wana jf wote ...Cause Genta amesha prove kuwa yeye sio mnyarwanda..
We jamaa mkorofi sana
 
Reactions: Sax
Urakoze cyane..by the way nimeiandika kama inavyo tamkwa..

Kama vipi funguka maana yake kwa faida ya wana jf wote ...Cause Genta amesha prove kuwa yeye sio mnyarwanda..
Kwa kiswahili Nina upungufu wa maneno!! Ila kwa kizungu Ni (bad perception)
 
Atakuja.hua anapenda sana thread yule
 
Kwa kiswahili Nina upungufu wa maneno!! Ila kwa kizungu Ni (bad perception)
Yeah sure haupo mbali sana na ukweli ila maneno hayo yanatumika kuwarefer watu ambao bado wana mawazo ya kuja kufanya tena genocide ..Something which is strictly forbidden in Rwanda and it is punishable..It is a criminal offence in Rwanda for a person to behave or conduct himself in a manner which suggests that he think of re occurance of genocide in Rwanda..This is generally referred to as " Ufitinginga Butegerezi "
 
Yeah right!!
 
nimepitia comment zote nimeona ndugu Genta watu wakimnawa na kumfunda kama mwanamwali wa kabila letu tukufu la kizaramo basi tittle ya Uzi ibadilishwe na kuwa "Uzi maalumu wa kumkosoa genta
 
nimepitia comment zote nimeona ndugu Genta watu wakimnawa na kumfunda kama mwanamwali wa kabila letu tukufu la kizaramo basi tittle ya Uzi ibadilishwe na kuwa "Uzi maalumu wa kumkosoa genta
He has a bad aura .
 
Huyu mkola anatokea buturi Mara,mleta mada endapo genta akapotea ktk mazingira ya kutatanisha utakua answarable
 
Mbona na ' Mamaako ' Mzazi nae ni ' Taahira ' kama Mimi tena amenizidi 15% humsemi?
 
Mara eti ana undugu na Rais Museveni, mara eti kalelewa na kamanda mkuu wa Museveni, huwa haeleweki kama popo ati!

Mkuu inaonekana Mimi Kulelewa na Rais Museveni tokea mwaka 1996 hadi 2001 pale Nakasero State House Kampala kumekuuma mno. Na kukuudhi zaidi sikuanzia kuzizoea Ikulu huko nchini Uganda bali hata nikiwa bado mdogo mdogo nimewahi pia kukaa Ikulu ya Tanzania hapo Magogoni wakati Hayati Mwalimu Nyerere bado hajang'atuka na kwa ushahidi wa hili watafute ' Bodyguards ' wote wa Mwalimu akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Mshamu aliyekuwa Mkuu wa PSU ila hivi majuzi amestaafu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa RSO wa Mkoa ambao kwa sasa Ajali za Barabarani zimekithiri mwenye ' initials ' za JK na Mzee Simon bila kuwasahau Watoto wa Mwalimu akina Dada Anna, Rose na Kaka Madaraka wote hawa wamenibeba sana tu.

Ukitaka zaidi ya haya sema nikutiririkie na nikusererekie zaidi. Sina ' ushamba / umbwigira ' na Ikulu na ' bata ' nilizokula katika nchi hii, Uganda, Rwanda na South Afrika wakati wa Hayati Mzee Mandela ' Madiba ' Wewe mpaka kuja Kufa ama Kufariki Kwako hutokuja kuzila au kuzipata.

Halafu pamoja na ' exposure ' yangu hiyo hapo juu nipo vile vile na naishi maisha yangu ' very simple ' sipendi makuu wala kujionyesha kwani sina hiyo ' hulka ' isipokuwa na Mimi pia napambana ili nami nije kuwa na mafanikio kusudi nami Watoto wangu waje wale ' matunda ' yangu ya Kimalezi mema kama ambavyo nami nimepewa / nimelelewa na Wazazi wangu.

Nimemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…