Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

hivi kwa nn tusiwe tunachangia mada bila any influence in personal life, sidhani kama mtu unaweza detect life yangu kwa kuangalia threads au avatar yangu, unless tumekutana na umeniona face to face, na utashangaa mtu anapost pumba daily,, dune post, upuuzi but ukija kumuona asee unaweza kuta ni mkulu wa moja ya nchi za east africa,........ wazungu wanamsemo wao wa kibabe wanasema

"the problem of drawing lines in the sand, with breath of air they dissapear"

dont let Your emotions get the best of you let hear from him the lest will follow........
 
Tatizo watu humu wanapenda kukuchukulia poa sana,ila kwa ufafanuzi huo ,km hawajakuelewa basi hawawezi kukuelewa tena

Na ndiyo nimeshawapa sasa walichokuwa wakikitafuta hivyo ' wajipime ' wenyewe na watapata majawabu yao stahili. Moja ya ' Silaha ' yangu kubwa maishani ni Kujiamini, Kutoogopa na kuwa Mkweli daima na hizo ' Silaha ' sitokuja kuziacha hadi naingia zangu ' Kaburini ' pale ambapo Mwenyezi Mungu akinihitaji rasmi.
 
hivi kwa nn tusiwe tunachangia mada bila any influence in personal life, sidhani kama mtu unaweza detect life yangu kwa kuangalia threads au avatar yangu, unless tumekutana na umeniona face to face, na utashangaa mtu anapost pumba daily,, dune post, upuuzi but ukija kumuona asee unaweza kuta ni mkulu wa moja ya nchi za east africa,........ wazungu wanamsemo wao wa kibabe wanasema

"the problem of drawing lines in the sand, with breath of air they dissapear"

dont let Your emotions get the best of you let hear from him the lest will follow........

Walichokuwa wakikitaka Kwangu nimeshawapa tena Kiufafanuzi zaidi hivyo sasa ni Kazi Kwao kuyatafakari. Kuna muda unajitahidi kujizuia na Watu wenye tabia za ' Kiswahili ' hadi sasa unawachoka na inakubidi ufungue tu ' mabawa ' yako ili kuwaonyesha kuwa tumepitia kwingi, tumeona mengi, tunayajua lukuki na tumekuzwa na mikono ya Wakubwa wengi tu hapa East Africa na Africa kwa ujumla ila hatujaona sana faida ya kutamba sana sana tu na Sisi sasa tunahangaika Kupambana na maisha yetu ili siku moja tuje kuwa kama hao ' Wakubwa ' waliotulea na kutukuza.

Na hii si mara ya Kwanza ' Waswahili ' hawa hawa kuja hapa na ' thread ' ya kumuhusu GENTAMYCINE ila bahati nzuri Kwangu na mbaya Kwao ni kwamba nina uwezo wa kupambana nao Kihoja na kuwajibu hata kama wakiwa wako Milioni na hakuna ambaye ataniweza kwakuwa mapambano yangu hayajaanzia tu katika Mitandao bali ' naturally ' ni Mtu nisiyependa Kushindwa na hata ikitokea umenishinda usijisifu sana kwani bado tu ' nitakuwinda ' kimya kimya na hadi nihakikishe nakumaliza au nimekumaliza kwa namna yoyote ile. Sijaweka hapo hiyo Avatar ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu a.k.a BIBI bure bali imebeba ' almost 98% ' ya tabia za Kimapambano na za Kutokubali kushindwa walizonazo Wayahudi na ambazo nami pia nazimiliki / ninazo.
 
Mkuu inaonekana Mimi Kulelewa na Rais Museveni tokea mwaka 1996 hadi 2001 pale Nakasero State House Kampala kumekuuma mno. Na kukuudhi zaidi sikuanzia kuzizoea Ikulu huko nchini Uganda bali hata nikiwa bado mdogo mdogo nimewahi pia kukaa Ikulu ya Tanzania hapo Magogoni wakati Hayati Mwalimu Nyerere bado hajang'atuka na kwa ushahidi wa hili watafute ' Bodyguards ' wote wa Mwalimu akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Mshamu aliyekuwa Mkuu wa PSU ila hivi majuzi amestaafu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa RSO wa ambao kwa sasa Ajali za Barabarani zimekithiri mwenye ' initials ' za JK na Mzee Simon bila kuwasahau Watoto wa Mwalimu akina Dada Anna, Rose na Kaka Madaraka wote hawa wamenibeba sana tu.

Ukitaka zaidi ya haya sema nikutiririkie na nikusererekie zaidi. Sina ' ushamba / umbwigira ' na Ikulu na ' bata ' nilizokula katika nchi hii, Uganda, Rwanda na South Afrika wakati wa Hayati Mzee Mandela ' Madiba ' Wewe mpaka kuja Kufa ama Kufariki Kwako hutokuja kuzila au kuzipata.

Halafu pamoja na ' exposure ' yangu hiyo hapo juu nipo vile vile na naishi maisha yangu ' very simple ' sipendi makuu wala kujionyesha kwani sina hiyo ' hulka ' isipokuwa na Mimi pia napambana ili nami nije kuwa na mafanikio kusudi nami Watoto wangu waje wale ' matunda ' yangu ya Kimalezi mema kama ambavyo nami nimepewa / nimelelewa na Wazazi wangu.

Nimemaliza.
Mkuu,umelelewa na kubebwa na kina Mzee Madaraka that means umri wako umeenda,then bado unasema unapambana ili watoto wako waje waishi maisha poa,sa unapambana wakati ushazeeka mkuu wangu,unawapambania watoto ama wajukuu!!?
 
Nampambania ' Mamaako ' na Dada zako ambao pamoja na huu ' Uzee ' wangu wa miaka 35+ niliyonayo sasa bado tu wananing'ang'ania na hawataki kuniacha ili warudi kwa ' Babaako ' na Waume zao. Sasa kama Mtu mwenye Umri huo tajwa hapo juu ni Mzee sijui wale wenye 50+ hadi 60+ wataitwaje.

Nakusubiri urudi tena niweze kumaliza Kazi rasmi nikupe ' Kitu ' ambacho utalala nacho vizuri na pia utaniota vyema tu.
 
Na ndiyo nimeshawapa sasa walichokuwa wakikitafuta hivyo ' wajipime ' wenyewe na watapata majawabu yao stahili. Moja ya ' Silaha ' yangu kubwa maishani ni Kujiamini, Kutoogopa na kuwa Mkweli daima na hizo ' Silaha ' sitokuja kuziacha hadi naingia zangu ' Kaburini ' pale ambapo Mwenyezi Mungu akinihitaji rasmi.
Kaburini uingie mara ngapi maana wewe ni mzimu ulishakufa haujitambui tu
Mtani shikamoo
 
Nampambania ' Mamaako ' na Dada zako ambao pamoja na huu ' Uzee ' wangu wa miaka 35+ niliyonayo sasa bado tu wananing'ang'ania na hawataki kuniacha ili warudi kwa ' Babaako ' na Waume zao. Sasa kama Mtu mwenye Umri huo tajwa hapo juu ni Mzee sijui wale wenye 50+ hadi 60+ wataitwaje.

Nakusubiri urudi tena niweze kumaliza Kazi rasmi nikupe ' Kitu ' ambacho utalala nacho vizuri na pia utaniota vyema tu.
Lala ukue utoto unakusumbua
 
Mkuu,umelelewa na kubebwa na kina Mzee Madaraka that means umri wako umeenda,then bado unasema unapambana ili watoto wako waje waishi maisha poa,sa unapambana wakati ushazeeka mkuu wangu,unawapambania watoto ama wajukuu!!?
Hahaa jamaa yupo toka enzi za mwalimu na bado hajafanikiwa na wala hana watoto.
Kama ni kweli either jamaa kala chumvi sana au ni muongo maana Tendewa sasa hivi ni Bodyguard wa Lowassa na yupo late 40's or early 50's.
 
Walichokuwa wakikitaka Kwangu nimeshawapa tena Kiufafanuzi zaidi hivyo sasa ni Kazi Kwao kuyatafakari. Kuna muda unajitahidi kujizuia na Watu wenye tabia za ' Kiswahili ' hadi sasa unawachoka na inakubidi ufungue tu ' mabawa ' yako ili kuwaonyesha kuwa tumepitia kwingi, tumeona mengi, tunayajua lukuki na tumekuzwa na mikono ya Wakubwa wengi tu hapa East Africa na Africa kwa ujumla ila hatujaona sana faida ya kutamba sana sana tu na Sisi sasa tunahangaika Kupambana na maisha yetu ili siku moja tuje kuwa kama hao ' Wakubwa ' waliotulea na kutukuza.

Na hii si mara ya Kwanza ' Waswahili ' hawa hawa kuja hapa na ' thread ' ya kumuhusu GENTAMYCINE ila bahati nzuri Kwangu na mbaya Kwao ni kwamba nina uwezo wa kupambana nao Kihoja na kuwajibu hata kama wakiwa wako Milioni na hakuna ambaye ataniweza kwakuwa mapambano yangu hayajaanzia tu katika Mitandao bali ' naturally ' ni Mtu nisiyependa Kushindwa na hata ikitokea umenishinda usijisifu sana kwani bado tu ' nitakuwinda ' kimya kimya na hadi nihakikishe nakumaliza au nimekumaliza kwa namna yoyote ile. Sijaweka hapo hiyo Avatar ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu a.k.a BIBI bure bali imebeba ' almost 98% ' ya tabia za Kimapambano na za Kutokubali kushindwa walizonazo Wayahudi na ambazo nami pia nazimiliki / ninazo.

Wewe ni Mkurya wa nyamongo, huu ndo ukwel ukibisha utakuwa umenikosea adabu
 
Nampambania ' Mamaako ' na Dada zako ambao pamoja na huu ' Uzee ' wangu wa miaka 35+ niliyonayo sasa bado tu wananing'ang'ania na hawataki kuniacha ili warudi kwa ' Babaako ' na Waume zao. Sasa kama Mtu mwenye Umri huo tajwa hapo juu ni Mzee sijui wale wenye 50+ hadi 60+ wataitwaje.

Nakusubiri urudi tena niweze kumaliza Kazi rasmi nikupe ' Kitu ' ambacho utalala nacho vizuri na pia utaniota vyema tu.
Una miaka 35 means umezaliwa mwaka 83.At the same time kuna Uzi uliuanzisha unasema umeanza darasa la kwanza mwaka 83 kwenye shule moja ya msingi iliyopo jijini Dar Es Salaam. Ulianza darasa la kwanza ukiwa na mwaka sifuri
wewe unatakiwa uwekwe kwenye kitabu cha guiness
 
Amesema ana miaka 35 na kuendelea,
 
Kaburini uingie mara ngapi maana wewe ni mzimu ulishakufa haujitambui tu
Mtani shikamoo

Kwasababu umeshajitanabaisha / umeshajitambulisha mwenyewe kuwa Wewe ni ' Mtani ' wangu basi wala sitokujibu ' shombo ' kwani hakuna Watu ambao nawaheshimu na nawapenda kama ' Watani ' zangu Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu na Warangi ( kwa Mzazi wangu wa Kiume ) bila kuwasahau na Wangoni, Waluguru, Wandengereko, Wazaramo na Wakwere ( kwa Mzazi wangu wa Kike )
 
Wewe ni Mkurya wa nyamongo, huu ndo ukwel ukibisha utakuwa umenikosea adabu

Wakurya ni Ndugu zangu ( Poti ) kwakuwa tunatoka Mkoa mmoja na nawaheshimu na nawapenda sana tu ila sitokei katika Kabila lao na nadhani nimeshaweka bayana humu natokea Kabila gani ila yawezekana utakuwa na matatizo yako binafsi ya akili ambayo yanakusumbua hivyo unayatafutia unafuu wake Kwangu.
 
Kwasababu umeshajitanabaisha / umeshajitambulisha mwenyewe kuwa Wewe ni ' Mtani ' wangu basi wala sitokujibu ' shombo ' kwani hakuna Watu ambao nawaheshimu na nawapenda kama ' Watani ' zangu Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu na Warangi ( kwa Mzazi wangu wa Kiume ) bila kuwasahau na Wangoni, Waluguru, Wandengereko, Wazaramo na Wakwere ( kwa Mzazi wangu wa Kike )
Wewe ni mtu wa watu, wewe ni zao la makabila mengi

Hongera Mkuu.
 
Back
Top Bottom