Gentamycine naomba kukuuliza kuhusu hili la Yanga, Coastal Union na GSM

'Natural Charm' yangu GENTAMYCINE inawatesa na itawatesa Wapumbavu ( Damn Fools ) nyote mnaonichukia ila 24/7 hamuachi ama kusoma Threads au Posts zangu hapa JamiiForums.
Kiupande wangu sijawahi kusoma nyuzi zako from A - Z Ila kikubwa najua upumbavu wote uloandika kupitia title.. Sina mda wa kusomaga huo upupu wako.

Ila tu punguza munkari, Mungu humpa yule mwenye juhudi za utafutaji.. So Yanga tunapambana na tunaamini Mungu hawezi kututupa Mkono Kombe tutanyakuwa tu tena kabla ya kumaliza mechi zetu.. utabaki na umbea wako huohuo kama mwali vile
 
Kiupande wangu sijawahi kusoma nyuzi zako from A - Z Ila kikubwa najua upumbavu wote uloandika kupitia title.. Sina mda wa kusomaga huo upupu wako...
Hivi kati ya Mimi ambaye hata Sikushobokei 'Mwendo' Wewe na Wewe ambaye Umeshakiri hapa kuwa Hunipendi na huwa Husomi Nyuzi zangu lakini Kutwa unanifuatilia na hata Kuzisoma Nusu tu au Kichwa cha Habari ni nani ni Pumbavu na Mwendawazimu kuliko Mwenzake?
 
Huyu jamaa ana maneno ya shombo kuliko dada zake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkinichokoza hakikisheni Vita ya maneno nami mnaiweza na muwe mmejipanga kweli kweli kwani nina Uwezo wa Kujibizana na Wapumbavu kama Wewe (Nyie) hata 100 kwa wakati Mmoja na kwa jinsi ninavyojiamini hakuna wa Kuniweza kati yenu.

Naheshimu nami Nakuheshimu ila ukileta Usela Kwangu Mimi nakuonyesha Uhuni wangu na Sera yangu haijawahi kubadilika ambapo Wewe Ukijamba tu basi Mimi Nakunya kabisa.

Najua mnachokifanya ni Kujiunga ( Mobilize ) na Kundi lenu JF Members mnaonichukia hapa ( hasa hasa kuonekana ) kuwa naiponda sana Serikali ya Rais Samia na Klabu yenu ya Yanga halafu mnachukizwa na Mimi kuwa maarufu, Kufuatiliwa zaidi na Kupendwa.

Hivyo Kwakuwa mmeshakariri kuwa GENTAMYCINE ni Mtu mwenye Hasira za Karibu ( Short Tempered Person ) mnachokifanya ni Kunichokoza na Kunishambulia kwa Makusudi hapa huku mkinitusi na Kunikashifu ili nipandwe na Hasira niwajibu hovyo ( Shombo ) halafu muwahi Kunishtaki kwa Moderators na nipewe BAN ya muda mrefu.

Tatizo lenu Kubwa mnahangaika na kusumbuka na hii ID ya GENTAMYCINE ila mmesahau kuwa nje ya hii ID hata Uhalisia wangu wa Kifikra, Kiakili na Kimawazo bado ni mkubwa na Utaishi milele kwani Mwenyezi Mungu ana Makusudi yake Kunibariki na hizi Tunu ( Shani ) mbalimbali ambazo kwa Wanafiki na Waswahili kama Wewe ( Nyie ) imekuwa ni Kikwazo.

Mnavyonichukia ndiyo mnaniimarisha!!
 
Wasalaam wanabodi

Sina neno,niseme tu kwamba Mimi ni shabiki na mwanachama halisi wa Dar es salaam Young African

Kuna uzi upo humu ambao umeanzishwa na member mwenzetu humu ,akionekana kujua mengi kuhusu mpira wa kibongo kama si ujuaji tu...
Maswali yako yote na Hoja zako zote nitazijibu kama tu Ukinihakikishia kuwa wakati Ukiandika Uzi huu ulikumbuka Kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa mkubwa wa Akili ulionao kwa muda mrefu na kama pia umeshaacha ile tabia yako ya kuwa 'Mwendo' ukiwa kama Mtoto wa Kiume.

Ninasubiri Majibu yako upesi tafadhali!!
 
Mkuu, Binafsi nakupongeza sana kwa kwa huu ushauri wako juu ya Huyu bwana Mkubwa GENTAMYCINE, Nami niongeze kitu hapa. kwanza ni-declare my interest...

Sina uhakika lakini nadhani huyu Gentamycin ni nyuzi zake ni aina fulani hivi ya Comedian anayetafuta attention huwa hayupo serious bali kitu pekee anachojali ni kuwa mshindi kwa kila anayebishana naye.

Anyway! According to comment yako nadhani na wewe unaweza kufanana na Gentamicin! Misimu iliyopita ulikuwa unajua wazi kuwa Yanga haukuwa na kikosi kizuri kinachoweza kupambana kama cha Msimu huu lakini Muliishia kumtukana Karia na kuilaumu TFF na kusema Simba inanunua matokeo sikuwahi kukuona kulipinga hili.
 
GENTAMYCINE naomba uniambie now una mtazamo au msimamo ule ule kwamba Yanga imemuonga Coastal Union ujichukulie point 3?
 
GSM hawawezi kuiua Coastal kisa yanga na yanga sio timu ya GSM bali wote wamedhaminiwa na GSM
 
Hata ukiwaelimisha hao haters wa yanga bado hawatakuelewa. Wape muda. Siku kombe la premier lashuka pale jangwani ndipo watasaga meno…
 
Lakini mbona Coastal walikuwa na motisha za kutosha Kutoka kwa Waziri Umy, mkuu wa mkoa Bakari Malima na wafanyabiashara, jumla m50. Tuseme tu Coastal wamefungwa kihalali kabisa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Uzi wa Kumhusu Msemaji wenu Haji Manara nauanzisha hivi punde nadhani Jibu lako utalikuta huko.
Mimi sio mshabiki wa Yanga kwanza naomba uniombe radhi ukiacha ushabiki wa team zetu mpira ni jambo ambalo liko wazi labda kama ulianza kupenda team kwanza.Kwa ushindani Coastal Union walioonesha utasemaje imeongwa pesa? Ifike kipindi ushabiki maandazi uuweke pembeni uwe realistic
 
Jamaa anajiona anajua kumbe anaungua jua[emoji95] tu la dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…