Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kiupande wangu sijawahi kusoma nyuzi zako from A - Z Ila kikubwa najua upumbavu wote uloandika kupitia title.. Sina mda wa kusomaga huo upupu wako.'Natural Charm' yangu GENTAMYCINE inawatesa na itawatesa Wapumbavu ( Damn Fools ) nyote mnaonichukia ila 24/7 hamuachi ama kusoma Threads au Posts zangu hapa JamiiForums.
Ila tu punguza munkari, Mungu humpa yule mwenye juhudi za utafutaji.. So Yanga tunapambana na tunaamini Mungu hawezi kututupa Mkono Kombe tutanyakuwa tu tena kabla ya kumaliza mechi zetu.. utabaki na umbea wako huohuo kama mwali vile