Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kujazwa Upepo na Mpumbavu wa aina yako au Wapumbavu wa aina yako.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unamjaza upepo tu.
Uzi kuhusu Manara tena[emoji15]!!!!Kuna Uzi wa Kumhusu Msemaji wenu Haji Manara nauanzisha hivi punde nadhani Jibu lako utalikuta huko.
Hivi kati ya Mimi ambaye hata Sikushobokei 'Mwendo' Wewe na Wewe ambaye Umeshakiri hapa kuwa Hunipendi na huwa Husomi Nyuzi zangu lakini Kutwa unanifuatilia na hata Kuzisoma Nusu tu au Kichwa cha Habari ni nani ni Pumbavu na Mwendawazimu kuliko Mwenzake?
You're a CERTIFIED FOOL and MENTAL!!Ni wewe Gentamycine ndiyo mpumbavu kuliko wote hapa jf, wote tunakufahamu na ukome kutuletea umbeya na upumbavu wako hapa jf. Nasubiria mitusi yako maana mdomo wako Ni kiwanda Cha matusi na si vinginevyo
Akitanguliws na Yule aliyekutapika Leba.Me najuaga na kuamini gentamycine ndo kilaza mkuu humu JF
Hapana mkuu hii I'D mmiliki ni mimi , Amin, ule uzi wangu naona ni moderator wameunganisha[emoji3][emoji3]
Kumbe GENTAMYCINE ulijipigia promo Kwa IDs tofauti
Ningekuona una Akili kama Kwanza umgekanusha kwa Members hapa kuwa hii ID yako siyo Mimi kwani tayari Wapumbavu Wenzako wameshaanza Kunihusisha nayo.Wasalaam wanabodi
Sina neno, niseme tu kwamba Mimi ni shabiki na mwanachama halisi wa Dar es salaam Young African
Kuna uzi upo humu ambao umeanzishwa na member mwenzetu humu, akionekana kujua mengi kuhusu mpira wa kibongo kama si ujuaji tu.
Uzi unaituhumu timu ya Coastal union kwamba watafungwa tu, kwakuwa tayari GSM washatoa mlungula huko Tanga.
Maswali yangu,
Je, wewe Gentamycine umeangalia mechi kati ya Coastal union na Yanga?
Je, umeona na kujiridhisha aina ya magoli yaliyofungwa na wachezaji tegemeo na wenye kulazimisha matokeo?
Ushauri wangu kwako ni kwamba punguza ujuaji au jiongeze, siyo Kila habari unayoisikia unakimbilia kuileta humu.
Vinginevyo unajiaibisha tu,
Coast wamecheza vizuri tena walipania lakini ndio hivyo Tena,
Wamecheza lakini magoli kapata Yanga.
Cc: ItovaniloGENTAMYCINE acha mambo ya kitoto kujiuliza na kujijibu maswali.
Too late. Idiot.....!!!!Hapana mkuu hii I'D mmiliki ni mimi , Amin, ule uzi wangu naona ni moderator wameunganisha
Nimeshakuja na nimeshatoa Dozi Kali!!!Ngoja aje....anakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pumbavu anza Kwanza Kumshauri aliyekuzaa kuwa Siku nyingine asirudie tena Kutuzalia Popoma Lililotukuka kama Wewe sawa?Kiupande wangu sijawahi kusoma nyuzi zako from A - Z Ila kikubwa najua upumbavu wote uloandika kupitia title.. Sina mda wa kusomaga huo upupu wako.
Ila tu punguza munkari, Mungu humpa yule mwenye juhudi za utafutaji.. So Yanga tunapambana na tunaamini Mungu hawezi kututupa Mkono Kombe tutanyakuwa tu tena kabla ya kumaliza mechi zetu.. utabaki na umbea wako huohuo kama mwali vile
Nawe unayataka?Huyu jamaa ana maneno ya shombo kuliko dada zake
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Thubutu uonje Joto yangu ya Jiwe hapa.Mh hapa hata ku quote tunahofia matusi kwa waliotuzaa
Please stop comparing me with that Fool.Sina uhakika lakini nadhani huyu Gentamycin ni nyuzi zake ni aina fulani hivi ya Comedian anayetafuta attention huwa hayupo serious bali kitu pekee anachojali ni kuwa mshindi kwa kila anayebishana naye.
Anyway! According to comment yako nadhani na wewe unaweza kufanana na Gentamicin! Misimu iliyopita ulikuwa unajua wazi kuwa Yanga haukuwa na kikosi kizuri kinachoweza kupambana kama cha Msimu huu lakini Muliishia kumtukana Karia na kuilaumu TFF na kusema Simba inanunua matokeo sikuwahi kukuona kulipinga hili.