Gentamycine naomba kukuuliza kuhusu hili la Yanga, Coastal Union na GSM

Kuna Uzi wa Kumhusu Msemaji wenu Haji Manara nauanzisha hivi punde nadhani Jibu lako utalikuta huko.
Uzi kuhusu Manara tena[emoji15]!!!!
Kwann usi deal na kuisaidia timu yako mbov??izo mambo za nyuzi tushakuzoea na tunajua hazisaidii kitu timu yako [emoji1787][emoji38][emoji16]
 
Ni wewe Gentamycine ndiyo mpumbavu kuliko wote hapa jf, wote tunakufahamu na ukome kutuletea umbeya na upumbavu wako hapa jf. Nasubiria mitusi yako maana mdomo wako Ni kiwanda Cha matusi na si vinginevyo
 
Ni wewe Gentamycine ndiyo mpumbavu kuliko wote hapa jf, wote tunakufahamu na ukome kutuletea umbeya na upumbavu wako hapa jf. Nasubiria mitusi yako maana mdomo wako Ni kiwanda Cha matusi na si vinginevyo
You're a CERTIFIED FOOL and MENTAL!!
 
Ka-simba kamepapaswa kwa mpalange na serikali ipo kimya tu, haiwezekani tunataka katiba mpya
 
Ningekuona una Akili kama Kwanza umgekanusha kwa Members hapa kuwa hii ID yako siyo Mimi kwani tayari Wapumbavu Wenzako wameshaanza Kunihusisha nayo.

Najibu Maswali yako kama ifuatavyo......

1. Je, kuna Siku yoyote ile GENTAMYCINE nimeanzisha Uzi hapa na Kukulazimisha Uufuatilie?

2. Umesema kuwa GENTAMYCINE huwa nakurupuka kuanzisha Mada hapa JamiiForums ambazo huwa hazina Ukweli je, kama Mada zangu huwa hazina Ukweli Moderators wa JamiiForums wangekuwa wanaziacha muendelee Kuzichangia?

3. Umesema Mimi najifanya Mjuaji wa Kila Kitu au Mambo mengi je, Kwako Wewe GENTAMYCINE kuwa this Knowledgeable and Well Informed kuna tatizo? Kuna mahala popote pale nawe umezuiwa kuwa hivyo / hivi?

4. Tokea Wewe Mpumbavu Mwandamizi JamiiForums nzima na hawa ( hao ) Wafuasi wako waliokupa 'Likes' hapo muanze Kunichukia GENTAMYCINE je, Amana zenu za Benki na katika Miamala ya Simu zimeongezeka? Je, huko Makazini Kwenu mmepandishwa Vyeo?

5. Umeniuliza Swali kuhusu GSM ma Kuidhamini Coastal Union FC ya Tanga na Suala zima la Upangaji Matokeo ila uliponishangaza tu na ndiyo maana huwa Nawadharau mno Wengi hapa JamiiForums kwakuwa hamna Akili ni kwamba tayari katika Maelezo yako umeshaonyesha kuwa Huniamini na Hunikubali halafu tena unaniaka nikupe Maelezo ya Kiufafanuzi juu ya Hoja yangu je, nikisema Wewe ni Mwendawazimu nitakuwa nakukosea?

6. Wewe na hao ( hawa ) Wapumbavu Wenzako wote waliokupa hizi 'Likes' hapa mmeshajiuliza ni kwanini pamoja na Kunichukia Kwenu Kutwa ( 24/7 ) hapa JamiiForums lakini bado tu nakuwa Maarufu hadi natajwa na Mabalozi akina Dk. Wilbroad Slaa, Redioni na hata katika Vipindi vya Runinga huku idadi ya Followers wangu ikiongezeka na huko Vyuo Vikuu baadhi ya Lecturers wakitumia baadhi ya Mada zangu hapa kama Mada Chokozi kwa Wanafunzi hasa katika Mijadala ya Kimasuala yaihusuyo nchi?

7. Ushauri wangu pekee ninaokupa Wewe na Wapumbavu Wenzako wote ni kwamba jikusanyeni kisha andaeni Barua ya Kukata Rufaa kwa Mwenyezi Mungu ya kwanini amenibariki GENTAMYCINE kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi huku akiwaacha nyie na Uswahili wenu, Chuki zenu na Wivu wenu Kwangu kiasi kwamba Wengi wenu mkiiona tu hii ID basi Mavi yanaanza Kuwabana na hata mnataka Kupasuka kwa Roho Mbaya yenu na Unafiki wenu dhidi yangu utadhani labda nililala na Mama zemu Wazazi na nimswaacha ( nimewatema ) rasmi hivyo nyie Watoto mmeumia na kuamua kuwa na 'Kisununu' nami.

Nimemaliza.
 
Pumbavu anza Kwanza Kumshauri aliyekuzaa kuwa Siku nyingine asirudie tena Kutuzalia Popoma Lililotukuka kama Wewe sawa?
 
Please stop comparing me with that Fool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…