Gentamycine naona kama vile 'Albadiri' ya 'Indian Ocean' imeshaniingia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Yaani.....

1. Nimepoteza kabisa Nuru

2. Natia Huruma niwapo na Watu

3. Sijiamini amini

4. Najishtukia

5. Napatwa na hamu ya kwenda Kijijini mara kwa mara

6. Nikikumbuka tu nilichokifanya Moyo unaniuma mno

7. Moyo wangu unasema nijitokeze tu mbele za wana JamiiForums (Watu) kuomba Msamaha na Kutubu

Mtani wangu Arovera pamoja na Genius wangu mrangi na Msela wa Kambini Lugalo King Kong III mpo lakini Wadau?
 
Mi mgeni bado sijaelewa kitu.
 
Wamekusativa mkuu?
 
Kurujuani 🤣🤣🤣
 
Natamani sana kwenda Kumuomba / Kuwaomba Msamaha niliowaumiza kwa kuwafanyia Ukatili Usiovumilika ila naogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…