Wewe ndio kila kitu kwangu mpenzi Lizzy
Hahaaa kaazi kweli kweli
labda id yake ya siku zote ina vimeo viingi
na ingesababisha 'jambo limezua jambo' lol
i almost thought it was you....
Kwazi gani sasa na wewe?
Mbona umekuwa mkali Lizzy?
Gentleman si kaja...furahi basi
Hata mimi nilidhani ni wewe.....
Nyie watu wachonganishi sana.
Boss mi nilidhani wewe ndo umefungukiwa...
enough thread about me ,Lizzy.....lol
I can't leave you alone Boss, I just can't.
The Boss.....a true and clear definition of a gentleman in the real world...keep it up...lol
mimi sina id nyingine....
siko muoga kiasi hivyo.....
ngoja nithibitishe....maybe its me....lol
Gentleman kaniangusha. . . sasa sijui ni kwamba anaona soo mimi kufunguka au ana vimeo kama alivyosema Boss.
Need I say more?
Right here in JF. . . .
There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes me by storm.
Lizzy
Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world, wanaojielewa na kuelewa wengine. Wenye mawazo ambayo sio ya kibinafsi kama ya wengine tuliowazoea, wenye mioyo ya dhahabu kama wake, wenye msimamo kama yeye, heshima na akili kama zake. A real husband material. . . a man worth loving.
Need I say more?
ah sasa huyu mwenye id nyingine nani tena?
Lizzy nakuja....
Ndo hapo chacha!
Toka jana mi nadhani ni wewe
In her own words she said she can't leave you alone.