Gentleman. . .

Ila Dr Lizzy una mambo? Ilikuwaje ukageuka team kataa ndoa? πŸ˜€
🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Nifah ...that was me being sarcastic bana.πŸ™ƒ

Trust me, nasupport ndoa kwa asilimia zote 105! Nisichounga mkono ni kitendo cha baadhi ya watu kuoa/kuolewa/kuowana huku wakiwa na nia au lengo lakumtumia tu mwenzie (taking advantage), na kujinufaisha kwa namna moja ama nyingine.

Wanafanya NDOA ikose mvuto na kuonekana kama jamvi la vichaa mpaka kina dronedrake wanapata point.😡
 
Humu kuna vibibi jamani ndo mana wengine wana kisirani kweli kama yule Haloo wangu
 
alikuwa kama wewe tu.mbwembwe kibao mara gentleman mara kaka mzuri sasa hivi mwenzio nisingo maza japo nawewe pΓ­a nisingo maza Γ‘mbae unabwana anae kuchezea badae atakubwaga tuu kama zebodi alivyo kufanyaπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
Punguza wivu!! Besides, that was always the goal for me, ask dear β€Šdiary!😌
 
Women with their fantasy dreams?! No wonder they are always getting disappointed!
Bless them...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mmmmh😍
 
unamiaka mingapi mrembo.nione kama tunaweza kufanya chemistry
Kuna mwanamke anaweza kufanya chemistry na kichaa kweli?

Unaweza kufit zaidi kuwa shamba boy wake.

By the way madam Rita kawapa offer vijana anatafuta mume bahati mbaya vijana wanajitokeza hata pa kuishi hawana.

Ndio this category of mbwembwe unazoleta wewe.
 
Dr acha uchokozi.😁

Let the boy have his fun.πŸ™‚
 
MaxShimba?Nahisi huyu mdau alikuwa Pastor, akianza kuongelea Faith anarefer kiebrania, Utasikia in Hebrew...

Pamoja na hayo ulikuwa unamconfuse hadi anaanza kutukana.
 

Jamaa mbishi kupita maelezo.

Halafu ni kati ya wale wabishi ambao uwezo wao wa kupost ni mkubwa kuliko uwezo wa kufikiri!
Hahahaa, uwezo wa kupost mkubwa kuliko wa kufikiri inakuwa tatizo.

Kuna muda aliargue kwamba kwny uislamu hakuna faith kwa kuwa inaletwa na roho mtakatifu, na eti kwenye uislamu hayupo,

Mara nyingi alikuwa against atheism na islam.
 
Ndugu zangu nisharudi kwenye platform
Are you the same Mukandara who used to argue mahoja mazito mazito na akina Kitila Mkumbo?

Naona kwenye profile wamekulabel as if you are a new member, No offence intended though.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…