Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
- Thread starter
- #661
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila Dr Lizzy una mambo? Ilikuwaje ukageuka team kataa ndoa? 😀
Nifah ...that was me being sarcastic bana.🙃
Trust me, nasupport ndoa kwa asilimia zote 105! Nisichounga mkono ni kitendo cha baadhi ya watu kuoa/kuolewa/kuowana huku wakiwa na nia au lengo lakumtumia tu mwenzie (taking advantage), na kujinufaisha kwa namna moja ama nyingine.
Wanafanya NDOA ikose mvuto na kuonekana kama jamvi la vichaa mpaka kina dronedrake wanapata point.😵