....hatimaye! ...happy new year resolution Lizzy...lol...
Hutaki kumtathmini? Maana mpaka sasa hivi ameshakuangusha.
enough thread about me ,Lizzy.....lol
Hayo tuyaache.
Nikija utanilipia ticket? Mi nna pesa ya popcorn tu. . . .
naogopa nisije nikamjaza maneno mwishowe aharibu bure.
Ngoja nimwulize kama nimwandikie asome kama risala kwa mkuu wa mkoa
atakuwa haipatensive kwa kweli
Mama yangu alinifundisha kitu kimoja hiviii...! kua nikiwaninatoa kitu kwa mtu yeyote yule nitoe kama nina mpa yeye(MAMA).. na siwezi kumdai MAMA hata kidogo..! so USIOGOPE...! japo TF anaweza kuja na mabomu akaleta ugonjwa wa moyo kwa manji bure..!Eeeeeh naogopa kukabwa afterwards.
Kwahiyo lazima nihakikishe na mimi nanunua kitu ili ukinidai na mimi nikudai.
Hahahaha. . . .
Mbu umepata notification nini. . . lolz?Nwy jiandae kutoa zawadi sasa sio ufurahie tu mabadiliko.
Mama yangu alinifundisha kitu kimoja hiviii...! kua nikiwaninatoa kitu kwa mtu yeyote yule nitoe kama nina mpa yeye(MAMA).. na siwezi kumdai MAMA hata kidogo..! so USIOGOPE...! japo TF anaweza kuja na mabomu akaleta ugonjwa wa moyo kwa manji bure..!
yaani hii ni 'HATIMAYE' skwea skwead
mwaka huu tutavuna, nimeamini hata chui ana.....
Hahahaha. . . mbona mi vigezo vyangu vya kawaida tu Mbu? Yani kawaida sana nikilinganisha na vya wadada wengine wengi.
:A S-coffee:...eee?...mnnnh!... mnh?! ...haaya! Lizzy weye ulosimamia kutungwa katiba sahihi ya mahusiano, mapenzi na urafiki? sina na wa kukulinganisha nawe...lol
...umeona ee? aah, acha nisepe sredi hii huku nikiendelea kumsoma Lizzy na sredi zake zinazofuatia..
Lolzzz. . . .
Ila kweli Mbu, vigezo vyangu ni rahisi sana mtu kuwa navyo, sema basi tu.
Alafu naona Kongosho eti nae kaunga mkono hoja yako wakati Madam Speaker hajaruhusu kura.
I am a very simple person and my needs are quite simple too: I satisfy myself with nothing but the best. (Oscar Wilde)Lolzzz. . . .
Ila kweli Mbu, vigezo vyangu ni rahisi sana mtu kuwa navyo, sema basi tu.
Alafu naona Kongosho eti nae kaunga mkono hoja yako wakati Madam Speaker hajaruhusu kura.
unajua nasapoti hii kitu 100%
ila siwezi pinga kwamba you are very simple and easy yet very complex.
Ni mrahisi sana kwa vitu vinavyoshikika lakini mgumu sana kwa vitu visivyoshikika.
Right here in JF. . . .
There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes me by storm.
Lizzy
Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world, wanaojielewa na kuelewa wengine. Wenye mawazo ambayo sio ya kibinafsi kama ya wengine tuliowazoea, wenye mioyo ya dhahabu kama wake, wenye msimamo kama yeye, heshima na akili kama zake. A real husband material. . . a man worth loving.