Gentleman. . .

Gentleman. . .

my spesho request
confess basi ni nani, kwa PM lakini. 🙂

Sitasema hata waniteke miaka 1000.
Hahaha. . . hiyo detector sijui monitor yako iko sentive kiasi gani? Nataka nitengeneze firewall. . .

Alafu umepatia mpaka natamani kukupa zawadi. . . any special requests?
 
my spesho request
confess basi ni nani, kwa PM lakini. 🙂

Sitasema hata waniteke miaka 1000.
Hahahaha. . . . hiyo spesho reaquest haijatulia kabisa. Huwezi taka kitu kirahisi kama wenzako? Kitu kama kukurusha hewani kwa masifa kibao?
 
nilishakwambia hata ukinishushua siogopi
sitaki LIKE zako za kuniziba mdomo
najua unanikubali hata usiposema

mie nataka habari moto moto
aisee hii nyuzi itatuingizia hela sana kwenye jf udaku 'Lizzy afunguka...'
Hahahaha. . . . hiyo spesho reaquest haijatulia kabisa. Huwezi taka kitu kirahisi kama wenzako? Kitu kama kukurusha hewani kwa masifa kibao?
 
Unatakiwa uangalie kama unafit hapo alafu utuambie. . . usije kuta nilikua naota wakati naandika.

lol... haya bwana....
Vijana weshajitutumua sana humu...
Nakukalibisha studio ule my music, then u can tell......
 
lizzy hebu sikiliza huu wimbo

"Jolene, Jolene, Jolene, please don't take my man just because u can ". . .
Hahaha. . . QK mbona dedication ina utata hiii!!?
 
Last edited by a moderator:
"Jolene, Jolene, Jolene, please don't take my man just because u can ". . .
Hahaha. . . QK mbona dedication ina utata hiii!!?

Hahahaaa...you are about to start something miss lady! Of all the lines that's the only one that stood out for you?

Things that make you go hmmmm.....
 
nilishakwambia hata ukinishushua siogopi
sitaki LIKE zako za kuniziba mdomo
najua unanikubali hata usiposema

mie nataka habari moto moto
aisee hii nyuzi itatuingizia hela sana kwenye jf udaku 'Lizzy afunguka...'

Hahahahahaha.
LIZZY AFUNGUKA, AONGELEA ALIVYODATISHWA NA POST ZA DESH DESH.

We tulia kesho ntakuanzishia thread ya kukufagilia.
 
tena imejaa utata na mafumbo
kama tamathali za semi na nahau

itabidi tufanye konferensi call ku-clear huu utata.
"Jolene, Jolene, Jolene, please don't take my man just because u can ". . .
Hahaha. . . QK mbona dedication ina utata hiii!!?
 
Hahahaaa...you are about to start something miss lady! Of all the lines that's the only one that stood out for you?

Things that make you go hmmmm.....

Hhehehehe. . Huo ndio mstari ambao niliukariri tangu miaka hiyooo hata sielewi maana. Embu aniambie kama anahisi nanyemelea boma lake.
 
Back
Top Bottom