Hahaha. . . hiyo detector sijui monitor yako iko sentive kiasi gani? Nataka nitengeneze firewall. . .
Alafu umepatia mpaka natamani kukupa zawadi. . . any special requests?
Hahahaha. . . . hiyo spesho reaquest haijatulia kabisa. Huwezi taka kitu kirahisi kama wenzako? Kitu kama kukurusha hewani kwa masifa kibao?my spesho request
confess basi ni nani, kwa PM lakini. 🙂
Sitasema hata waniteke miaka 1000.
Lizzy, msaada pliz....
Natakiwa nisemeje hapa sasa
We unanipenda au unanichukia?
Hahahaha. . . . hiyo spesho reaquest haijatulia kabisa. Huwezi taka kitu kirahisi kama wenzako? Kitu kama kukurusha hewani kwa masifa kibao?
Unatakiwa uangalie kama unafit hapo alafu utuambie. . . usije kuta nilikua naota wakati naandika.
Nikuchukie kwani umenifitini nini?
wengine tunachukia mtu bila sababu
hujawahi sikia 'Simpendi fulani bila sababu, simpendi tuu. Damu yake na yangu hazipatani'
"Jolene, Jolene, Jolene, please don't take my man just because u can ". . .
Hahaha. . . QK mbona dedication ina utata hiii!!?
Faza vipi una-fit profile iliyoelezwa na Lizzy?
Sijui ndio maana nikauliza.
nilishakwambia hata ukinishushua siogopi
sitaki LIKE zako za kuniziba mdomo
najua unanikubali hata usiposema
mie nataka habari moto moto
aisee hii nyuzi itatuingizia hela sana kwenye jf udaku 'Lizzy afunguka...'
"Jolene, Jolene, Jolene, please don't take my man just because u can ". . .
Hahaha. . . QK mbona dedication ina utata hiii!!?
Hahahaaa...you are about to start something miss lady! Of all the lines that's the only one that stood out for you?
Things that make you go hmmmm.....