Kwahiyo wewe hujitutumuia?
Hhhm what kinda music?
tena imejaa utata na mafumbo
kama tamathali za semi na nahau
itabidi tufanye konferensi call ku-clear huu utata.
Hhehehehe. . Huo ndio mstari ambao niliukariri tangu miaka hiyooo hata sielewi maana. Embu aniambie kama anahisi nanyemelea boma lake.
Ntajuaje wakati hujasema?
Umeniacha kati ya Napendwa. . . Na Nachukiwa.
Hakika kuna hidden meaning hapo....tunahitaji si conference call peke yake...twahitaji na webinar kabisa!
Staki kumrusha roho 'gentleman' wako.
Loh. . . embu niandalie pakukimbilia maana panaweza pasikalike hapa.
Unajua queenkami hana kawaida ya kujivinjari kwa sana humu JF....lakini hii mada haijampita. I wonder why? Labda unahatarisha maslahi yake...
Right here in JF. . . .
There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes me by storm.
Lizzy
Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world, wanaojielewa na kuelewa wengine. Wenye mawazo ambayo sio ya kibinafsi kama ya wengine tuliowazoea, wenye mioyo ya dhahabu kama wake, wenye msimamo kama yeye, heshima na akili kama zake. A real husband material. . . a man worth loving.
Kwahiyo wewe hujitutumuia?
Hhhm what kinda music?
Kwahiyo wewe hujioni ni gentleman?Hapo maroon bold, kumbe upo kwenye searching wangu....
Nilikurupuka bila kuona lol
Mi sijioni, hivi najitutumua uh??
Sipendi kujitutumua kweli....
Sasa si unajua studio we got a range of music genre... unajipimia tu...
..@Red, Dah tangu nimejiunga JF sijawahi kuona Mwanadada anafunguka kiasi hiki, haya ni Mapenzi halisi kwa huyo XXXX JF Gentleman.Right here in JF. . . .
There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes me by storm.
Lizzy
Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world, wanaojielewa na kuelewa wengine. Wenye mawazo ambayo sio ya kibinafsi kama ya wengine tuliowazoea, wenye mioyo ya dhahabu kama wake, wenye msimamo kama yeye, heshima na akili kama zake. A real husband material. . . a man worth loving.
Jina lako mbona haliendani na sifa za gentleman aisee?
Hahahaha. . .Kivumah hushangai mdada kufunguka? Maana mmezoea nyie ndio wafungukaji...@Red, Dah tangu nimejiunga JF sijawahi kuona Mwanadada anafunguka kiasi hiki, haya ni Mapenzi halisi kwa huyo XXXX JF Gentleman.
Hey,Gentleman, who ever y're. Y're very lucky.