Gentleman. . .

Kwahiyo wewe hujioni ni gentleman?

Interesting. . . itabidi nije kukutembelea siku moja nitoe na single kabisa.

Na wewe nawe.... hapo tunazungumzia "kujitutumua" kwanza...
Yah njoo, natafuta watu wa back vocal kwa track flan ya soul....
Itakuwa poa sana kupata bass yako
 
Na wewe nawe.... hapo tunazungumzia "kujitutumua" kwanza...
Yah njoo, natafuta watu wa back vocal kwa track flan ya soul....
Itakuwa poa sana kupata bass yako
Weee mi sina bass bana. . . nna sauti nyororo kama chiriku.Lolzz

hehehehe haya tuachane na kujitutumia, are you or are you not?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…