Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtu huwezi kumpata akiwa tayari a gentleman as described by Lizzy, just take the one you are attracted to alafu mgeuze hivo basi...
Right here in JF. . . .
There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes me by storm.
Lizzy
Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world, wanaojielewa na kuelewa wengine. Wenye mawazo ambayo sio ya kibinafsi kama ya wengine tuliowazoea, wenye mioyo ya dhahabu kama wake, wenye msimamo kama yeye, heshima na akili kama zake. A real husband material. . . a man worth loving.
I wish,i wish, i could be in that worth position!!
😛oa😛oa
nimekusomaongea zaidi...
Naona promota uko kazini. . .
Ah Lizzy,those are oversize shoes to me..mwenye kujadiliwa katulia tuliNaona.
Ohh alafu inawezekana na wewe ukawa ni gentleman...
Ah Lizzy,those are oversize shoes to me..mwenye kujadiliwa katulia tuli
Naona promota uko kazini. . .