Gentleman. . .

Gentleman. . .

najitahidi, hadi nikijue.
Hawa wengine wameenda wapi?
Huu ujio wa leo ulitakiwa tukeshe tunacheza mdundiko

Utakosa mchumba. . . . huoni tunavyoandamwa? Shauri lako.

Hahahaha. . . ujio karibu unaisha.
 
Right here in JF. . . .

There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes me by storm.
Lizzy

Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world, wanaojielewa na kuelewa wengine. Wenye mawazo ambayo sio ya kibinafsi kama ya wengine tuliowazoea, wenye mioyo ya dhahabu kama wake, wenye msimamo kama yeye, heshima na akili kama zake. A real husband material. . . a man worth loving.

Wish you all the best in your search.


 
Last edited by a moderator:
Hhmmmm...!.
Hhmmm....! sijui ilihamishiwaje chit chat hii...
 
Back
Top Bottom