Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
hongera sana
Majukumu my dear sjakwambia mi ni mama mtarajiwa hii ae ?? hhahahhaha lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majukumu my dear sjakwambia mi ni mama mtarajiwa hii ae ?? hhahahhaha lol
Majukumu my dear sjakwambia mi ni mama mtarajiwa hii ae ?? hhahahhaha lol
hongera sana
Unatarajia leo? mi ndo nimeshafunga kabisaa,sasa nalea watoto tu...haya, najua kwa nyie wa mara ya kwanza hata kutembea waga ni shida....kila la kheri,itabidi party zijazo tufanyie hapo kibarazani kwako...lol
Nikupe panado?
Thank you dearest, you are the best. Alafu usimsikilize huyo Kongosho hafurahi kuona nna furaha bila kaka yake.
Tonight is our night. . . lets go create new memories.
Pamoja na wewe dada mtu maana hamkawii kuniteka mkanitupe mtoni.
We shauri yako. . . ngoja uandaliwe baby shower.
Unataka usinzie usahau kila kitu?naomba nusu kaputi
panado haitoshi
ila tangu uage ni masaa 8 yamepita?! 🙂
hahahahahah mhhhh itabidi uniambie diaper zipi za kuanza nazo hahahah lol
haya bana mi nakitoa kwa sasa baadaye..
Thank you too, you the best of the best....Huyu Kongosho hanipi tabu,na utu uzima wangu najua jinsi ya ku-deal na mawifi wanoko....sasa tuache simu nyumbani dearest...nakerwa na usumbufu wa new fiancee's....halafu mpigie simu nani yule na nanihii basi,tuwe na kampani kidogo....nakaribia kufika,nifungulieni...lol
Unataka usinzie usahau kila kitu?
Saa zile nlikua nimeboraka. Baada ya kulaikiwa na kugundua kwamba nyota bado inang'aa nimeona nijiachie hapa hapa. Vipi, ubataka niondoke.?
Hahahha. . . uzuri najua kaka yako sio jasiri kiais hicho. Otherwise ningehama kijiji.
Only the best for the best dearest.
Haya sie tuko hapa getini tunakusubiria. Leo wachumba walie tu maana ni usiku wetu na sio wao.