Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo kabisa kutoka maandamano ya amani hadi maandamano ya ghasia, uporaji na uharibifu..
kiufupi,
madai mapya wanayoyaibua sasa, ni sawa na mtoto anaedeke.
unamptaia kila anacholilia, lakini bado ndio anazidisha kilio...
hii si sawa,
Lazima washikishwe adabu. ni mazoea na tabia mbaya hiyo. kwani Taifa la Kenya ni la vijana peke yake?
hao vijana wadhibitiwe vikali vinginevyo Kenya itadumaa na kusinyaa kiuchumi, kisiasa na kijamii, halafu patakua na kazi nzito sana na ya muda mrefu kuijenga upya..
Mungu Ibariki Kenya,
Mungu Ibariki Africa Mashariki.