Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Unajadiliana vipi na mtu muongo na mzandiki..., wamekuwa wakidanganywa kila leo hence watu kukosa imani na wanasiasa..., hakuna mtu anatetea uporaji ila kutetea watu waliosababisha hadi hayo maandamo in the first place makes me wonder kama wewe sio part ya hao majambazi....walikua na hoja za maana mno na zenye mashiko na zilisikilizwa na nyingine kutekelezwa kabisa....
ukatolewa wito na fursa ya majadiliano wamedidinda, wakaibua madai mapya sasa ambayo yatabadilisha kabisa sura ya maandamano ya amani kua ya ghasia....
na ikawa ndiyo mwanzo wa kupoteza uelekeo, zaidi sana kupoteza malengo.
Na sasa hivi wanagawanyika wao kwa walo, pole pole sura za kikabila zimeanza kujitikeza....
na katika ujumla wao wanaonekana ni majambazi, waporaji, wavamia maduka, wezi vibaka na mabandits yasiyo elewa yanataka niini 🐒
useless kabisa 🐒
Long term Cure ya kuhakikisha haya mambo hayatokei ni wanasiasa kuacha ulaghai na kuwa watumishi na sio watawala....