Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Mzizi wa haya matatizo ni nini ?nimeuona hadi kiongozi wa upinzani nae anakwepa kuunga mkono makataa ya gen z,
kwasababu vijana, hataki mazungumzo, wala hawasikii chochote kwa yeyote, na kwahivyo hata akipata fursa yeye hakuna kitakachobadilika fujo kitaendelea tu kwasabbu, nchi ilishaharibika kitambo na hayupo malaika wa kuinyoosha hivi sasa hata iweje 🐒
Unaweza kumwambia mtu mwenye Kitu cha Kupoteza (Maisha Mazuri) aingie mtaani na kuhatarisha maisha yake (siongelei wawili au watatu naongelea KIZAZI yaani maelfu kwa maelfu ya watu)?
Utaona kwamba kuna jambo halipo sawa na ili huku tusifike huko ni bora wakaanza kuweka mambo sawa sababu we are a generation behind what Kenya is now facing (na kwa ukubwa wa nchi yetu impact yake itakuwa mbaya zaidi)