Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Mchambuzi wa kabumbu geoff lea ameseyasem haya kupitia kipindi cha michezo cha Croen sports
Kuna udhaifu ambao yanga wanao hivi sasa, inabidi uwe mwepesi kuling’amua hili. Yanga Sc wanaruhusu sana kufikiwa na mpinzani tofauti na yanga Miguel Gamondi”
“Mfano hata jana, Al Hilal walikuwa wanamsogelea sana Yanga…. Kwa hiyo utofauti wa Yanga ya Gamondi na Ramovic, ni kwamba Yanga ya Gamondi haikuwa inaruhusu sana kufikiwa ila ya Ramovic inaruhusu sana kufikiwa”
Huyu ni mimi sasa:Kwa mtizamo huu na ninavyowajua MC Alger walivyo na hatari kwenye lango la mpinzani, sina budi kusema MC Alger wataibuka na ushindi mnono na watatinga hatua ya robo fainal kibabe sana.