Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakubwa wameshafuzu.Umefuzu kombe lipi?
Wamefuzu kombe gani?Wakubwa wameshafuzu.
Makolo wa Ibenge mnahaha sana kutafuta kuhalalisha kuwa Yanga imegawa mgao..!! Na haya mnayaropoka huku mkiwa mmepigwa mara nne mfululizo na Yanga. Sasa sijui na nyie mlinunuliwa mara zote nne au la..!!Na isingekuwa Hersi kuwapa pesa ya kutosha wale jamaa jana. Basi leo tungekuwa tunahesabu magoli kwa calculator
La LUZAWamefuzu kombe gani?
Lilelilowapeleka ikulu kula ubwabwa.Wamefuzu kombe gani?
Unasemea kombe la wamama?Lilelilowapeleka ikulu kula ubwabwa.
Kwa ule mpira tuliopiga nao kule kwao, wale tutawapiga kwa Mkapa.Wewe ndio mpira hujui hata kidogo yani mc alger wanajua kufika golini kweli mpira umevamiwa na vibwengo..
Kumbe alikuwa hatumii bahasha? Tushike lipi makolo?Msimu uliopita kuifunga Yanga kwenye open play ilikuwa shughuli pevu lakini sasa inafungika kirahisi mno. Naona sababu ni mbili; kwanza mabeki wa pembeni hasa Boka wamepwaya sana, pili Yanga ya sasa haishambulii kwa nidhamu/tahadhari. Misimu iliyo pita Yanga walikuwa wanashambulia bila kuharibu shape yao ya ulinzi hasa viungo tofauti na sasa wanajiachia tu. Nafikiri coach acheze ma mshambuliaji mmoja badala ya kutumia wawili.
Hahahahaha haaaa hahaaaaaaaaaaaa.....Na sasa anajamba tu na bando lake la jero manake muda ndio huu ameshafagia uwanja wa shemeji yake sasa katulia anajamba huku anachati jamii forum..
Timu gani ambayo haifikiwi?Geoff Leah yupo sahihi.
Yanga ikipoteza mpira adui anafika kirahisi kwenye 18 ya Yanga.
Nafikiri huu Ni udhaifu wa mtindo wa soka la gengenpressing au heavy metal football ya kijerumani.
Ilikuwa hivi Liverpool FC ya Jurgen Klopp.
Kufikiwa langoni siyo tatizo huo ndiyo mpira, sidhani kama kuna timu isiyofikiwa langoni... Na hapa namaanisha eneo la ndani ya 18! Timu nyingi kwa sasa zinaona ni bora kufikiwa golini lakini wasitoe mwanya kwa mpinzani wa kupiga kulenga goli, kuliko kupishana na kujifanya kushambulia na kuacha wachezaji wachache langoni. Tuusome mpira na tuache ushabiki. Makocha wote ni wataalamu na kila mmoja ana mbinu zake kwa kila timu anayokutana nayo kwa kuusoma mchezo wao. Kuhusu MC Alger na Yanga, tusubiri muda utakapofika kwani hata mechi hii ya Al Hilal yalishasemwa mengi...Mchambuzi wa kabumbu geoff lea ameseyasem haya kupitia kipindi cha michezo cha Croen sports
Kuna udhaifu ambao yanga wanao hivi sasa, inabidi uwe mwepesi kuling’amua hili. Yanga Sc wanaruhusu sana kufikiwa na mpinzani tofauti na yanga Miguel Gamondi”
“Mfano hata jana, Al Hilal walikuwa wanamsogelea sana Yanga…. Kwa hiyo utofauti wa Yanga ya Gamondi na Ramovic, ni kwamba Yanga ya Gamondi haikuwa inaruhusu sana kufikiwa ila ya Ramovic inaruhusu sana kufikiwa”
Huyu ni mimi sasa:Kwa mtizamo huu na ninavyowajua MC Alger walivyo na hatari kwenye lango la mpinzani, sina budi kusema MC Alger wataibuka na ushindi mnono na watatinga hatua ya robo fainal kibabe sana.
Bado anatingishika kanyaga shingo..😃😃tumekufunga mara 4 mfululizo vipi tulikuhonga..??
Kama hawafiki golini waliwabanduaje 2 mtungi kule Algers.Au umekumbwa na Amnesia?Wewe ndio mpira hujui hata kidogo yani mc alger wanajua kufika golini kweli mpira umevamiwa na vibwengo..
Zile chuma mbili walizo washenyenta ziliingiaje?Wewe ndio mpira hujui hata kidogo yani mc alger wanajua kufika golini kweli mpira umevamiwa na vibwengo..