Geoff Lea: Yanga wanaruhusu sana kufikiwa na wapinzani Langoni mwao

Mchambuzi wa kabumbu geoff lea ameseyasem haya kupitia kipindi cha michezo cha Croen sports

Kuna udhaifu ambao yanga wanao hivi sasa, inabidi uwe mwepesi kuling’amua hili. Yanga Sc wanaruhusu sana kufikiwa na mpinzani tofauti na yanga Miguel Gamondi”

“Mfano hata jana, Al Hilal walikuwa wanamsogelea sana Yanga…. Kwa hiyo utofauti wa Yanga ya Gamondi na Ramovic, ni kwamba Yanga ya Gamondi haikuwa inaruhusu sana kufikiwa ila ya Ramovic inaruhusu sana kufikiwa”

Huyu ni mimi sasa:Kwa mtizamo huu na ninavyowajua MC Alger walivyo na hatari kwenye lango la mpinzani, sina budi kusema MC Alger wataibuka na ushindi mnono na watatinga hatua ya robo fainal kibabe sana.
Hilo hata mimi Kihiyo nililiona
 
Mikia mmekutana sasa.
 
Msimu uliopita kuifunga Yanga kwenye open play ilikuwa shughuli pevu lakini sasa inafungika kirahisi mno. Naona sababu ni mbili; kwanza mabeki wa pembeni hasa Boka wamepwaya sana, pili Yanga ya sasa haishambulii kwa nidhamu/tahadhari. Misimu iliyo pita Yanga walikuwa wanashambulia bila kuharibu shape yao ya ulinzi hasa viungo tofauti na sasa wanajiachia tu. Nafikiri coach acheze ma mshambuliaji mmoja badala ya kutumia wawili.
Eti Yanga haishambulii kwa nidhamu, jamani statistics huwa hamzioni? Mashuti yaliyolenga lango na mashuti yaliyotoka nje ya lango, pia kona ngapi zilizopigwa.... Hayo yote hamyaoni, mbali na kosa kosa nyingine zonazookolewa na mabeki wa upinzani!
 
Kwa ule mpira tuliopiga nao kule kwao, wale tutawapiga kwa Mkapa.
Wale wana mpira wa kawaida sana Tp mazembe iliyokua unga kabisa kwenye gemu yao pale alger lakin waliambulia kagoli kamoja tena ka penati lakini walifikiwa vibaya sana..
Sasa ndio wakutane na hii Yanga ambayo kwasasa imekamilika watalia na watakandwa sio chini ya bao tatu hapa kwa mkapa..
 
Mchambuzi wa kabumbu geoff lea ameseyasem haya kupitia kipindi cha michezo cha Croen sports

Kuna udhaifu ambao yanga wanao hivi sasa, inabidi uwe mwepesi kuling’amua hili. Yanga Sc wanaruhusu sana kufikiwa na mpinzani tofauti na yanga Miguel Gamondi”

“Mfano hata jana, Al Hilal walikuwa wanamsogelea sana Yanga…. Kwa hiyo utofauti wa Yanga ya Gamondi na Ramovic, ni kwamba Yanga ya Gamondi haikuwa inaruhusu sana kufikiwa ila ya Ramovic inaruhusu sana kufikiwa”

Huyu ni mimi sasa:Kwa mtizamo huu na ninavyowajua MC Alger walivyo na hatari kwenye lango la mpinzani, sina budi kusema MC Alger wataibuka na ushindi mnono na watatinga hatua ya robo fainal kibabe sana.
Mtizamo ni mzuri ...Tujenge hoja timu nyiingi za kiafrika mtu akiwa nyumbani ni Bora mara 10 kuliko ugenini,Kufikiwa kunategemea uimara wa mpinzani na umejiandaje mfano game ya Al hilal vs Yanga Dar Yanga alifika sana kwa Al hilal ila alipasuka vzr mno kwanini sababu walizidiwa mbinu na akili...Hata muarabu anaweza fika kwa Yanga SAWA ila akishambuliwa yeye utaona moto
 
Back
Top Bottom