Geoff Lea: Yanga wanaruhusu sana kufikiwa na wapinzani Langoni mwao

Hilo hata mimi Kihiyo nililiona
 
Mikia mmekutana sasa.
 
Eti Yanga haishambulii kwa nidhamu, jamani statistics huwa hamzioni? Mashuti yaliyolenga lango na mashuti yaliyotoka nje ya lango, pia kona ngapi zilizopigwa.... Hayo yote hamyaoni, mbali na kosa kosa nyingine zonazookolewa na mabeki wa upinzani!
 
Kwa ule mpira tuliopiga nao kule kwao, wale tutawapiga kwa Mkapa.
Wale wana mpira wa kawaida sana Tp mazembe iliyokua unga kabisa kwenye gemu yao pale alger lakin waliambulia kagoli kamoja tena ka penati lakini walifikiwa vibaya sana..
Sasa ndio wakutane na hii Yanga ambayo kwasasa imekamilika watalia na watakandwa sio chini ya bao tatu hapa kwa mkapa..
 
Mtizamo ni mzuri ...Tujenge hoja timu nyiingi za kiafrika mtu akiwa nyumbani ni Bora mara 10 kuliko ugenini,Kufikiwa kunategemea uimara wa mpinzani na umejiandaje mfano game ya Al hilal vs Yanga Dar Yanga alifika sana kwa Al hilal ila alipasuka vzr mno kwanini sababu walizidiwa mbinu na akili...Hata muarabu anaweza fika kwa Yanga SAWA ila akishambuliwa yeye utaona moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…