njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kijana anatamba hapa kazini kwake anaongea kwa dharau kwelikweli anawashangaa wana simba wanalalamika nini/ anauliza mbona wamechoka mapema ?anasema dawa ya moto ni moto, kijana kwa hakika kajipanga kuichafua simba, hongera sana |Geoff leah wewe ni shupavu kwelikweli
Wenzako hapo studio wanakuchora tu na kukuona ulivyo limbukeni huku wakitoa reference ya meneja wa simba alivyokupiga dongo...Kanjanja refu lisilo na akili
Wana simba tunasubiri kwa hamu tujue next move yako ni ipi...Maana uliandika makala mwaka jana vs kaizer chiefs na mwaka huu vs orlando pirates ukamuwekea maneno abdi banda kwamba kafanya interview yeye kumbe ni upuuzi wako umejifungia chumbani na laptop na bando zako ulizohongwa huko ukamsingizia banda na kama haitoshi ukafanya interview kuichafua simba na nchi kwa hao wazulu ambao bahati mbaya huwa unajiona kwamba wewe ni msouth mbaya zaidi huwa unajiona unajua english na una akili sana
Basi sawa kanjanja refu...... DAWA YA MOTO NI MOTO KAMA ULIVYOSEMA DOGO HAINA TABU