Geoff Leah awakebehi wana simba redioni: Asema dawa ya moto ni moto

Geoff Leah awakebehi wana simba redioni: Asema dawa ya moto ni moto

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kijana anatamba hapa kazini kwake anaongea kwa dharau kwelikweli anawashangaa wana simba wanalalamika nini/ anauliza mbona wamechoka mapema ?anasema dawa ya moto ni moto, kijana kwa hakika kajipanga kuichafua simba, hongera sana |Geoff leah wewe ni shupavu kwelikweli

Wenzako hapo studio wanakuchora tu na kukuona ulivyo limbukeni huku wakitoa reference ya meneja wa simba alivyokupiga dongo...Kanjanja refu lisilo na akili

Wana simba tunasubiri kwa hamu tujue next move yako ni ipi...Maana uliandika makala mwaka jana vs kaizer chiefs na mwaka huu vs orlando pirates ukamuwekea maneno abdi banda kwamba kafanya interview yeye kumbe ni upuuzi wako umejifungia chumbani na laptop na bando zako ulizohongwa huko ukamsingizia banda na kama haitoshi ukafanya interview kuichafua simba na nchi kwa hao wazulu ambao bahati mbaya huwa unajiona kwamba wewe ni msouth mbaya zaidi huwa unajiona unajua english na una akili sana

Basi sawa kanjanja refu...... DAWA YA MOTO NI MOTO KAMA ULIVYOSEMA DOGO HAINA TABU
 
Huko insta amewashiwa moto hatari

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
AmeyakanyagaView attachment 2195212
Screenshot_2022-04-21-12-28-41-29.jpg

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
kwanini simba wanapenda sana ugomvi na wachambuzu hasa linapokuja mechi za CAF?
kipindi kile ilikuwa na Shafih Dauda wakati walipoitwa underdog
Unajua alichokifanya huyu? na yeye ana deal na teams za sauzi tu huwa anajifanya ni msauzi kabisa haswa akielezea ligi ya kule na kwa taarifa yako huyu ndiye mwandishi wa zile makala zilisemekana kumnukuu Abdi banda zisizo na jina la mwandishi kaanza mechi ya kaizer chiefs kafanya na orlando pirates na anakuambia vita vyake na simba sc vinaendelaa dawa ya moto ni moto
 
kwanini simba wanapenda sana ugomvi na wachambuzu hasa linapokuja mechi za CAF?
kipindi kile ilikuwa na Shafih Dauda wakati walipoitwa underdog
Hawataki kusikia ukweli juu ya ile michezo michafu wanayofanya hapo kwa Mkapa,pia hawataki ukweli kuwa wao match za ugenini ni mdebwedo.
 
Inatakiwa uwapambe timu kubwa, pilau biriani, kwamba hata Barcelona kwa Simba anakufa, those kind of rubbish ndio utaelewana nao.
Mr English keshasema vita yake na simba ni endelevu halafu yeye huwa anandika ma makala anamnukuu Abdi banda wa imagination anatuma south africa huko huyu atawafaa style yake ni ya kitofauti kabisa
 
Unajua alichokifanya huyu? na yeye ana deal na teams za sauzi tu huwa anajifanya ni msauzi kabisa haswa akielezea ligi ya kule na kwa taarifa yako huyu ndiye mwandishi wa zile makala zilisomekana kumnukuu Abdi banda zisizo na jina lamwandishi kaanza mechi ya kaizer chiefs kafanya na orlando pirates na anakuambia vita vyake na simba sc vinaendelaa dawa ya moto ni moto
Kuna tatizo gani kujifanya yeye Msouth? Kwa nini usiwashangae wanaojifanya Wacongo hadi wanaongea Kicongo, kuna kina Nyani Ngabu wanajifanya ni Wamarekani kumbe ni wasukuma hata vyoo kwao hakuna, wapo wale wanajifanya Wakenya kwa kuongea hadi maandishi yao, wapo wafuga madevu wao wanajiona ni Waarabu pure.
 
Hawataki kusikia ukweli juu ya ile michezo michafu wanayofanya hapo kwa Mkapa,pia hawataki ukweli kuwa wao match za ugenini ni mdebwedo.
Mshapata kanjanja lenu linaandika na makala kabisa linatuma sauzi africa unganeni nalo sasa lianze kutuma duniani kote maana lishasema vita yake ni endelevu
 
Kuna tatizo gani kujifanya yeye Msouth? Kwa nini usiwashangae wanaojifanya Wacongo hadi wanaongea Kicongo, kuna kina Nyani Ngabu wanajifanya ni Wamarekani kumbe ni wasukuma hata vyoo kwao hakuna, wapo wale wanajifanya Wakenya kwa kuongea hadi maandishi yao, wapo wafuga madevu wao wanajiona ni Waarabu pure.
Kama hujaelewa kinachoendelea nenda jukwaa la kilimo kajifunze kilimo cha ndulele
 
Jeff Lea akili anazo nyingi Sana,
Kabisa makanjanja wengi huwa wanaishia kuongea redioni instagram ila yeye kaipaka kinyesi simba kwenye magazeti ya south africa na online tv huku akidai kamnukuu Abdi banda na pia viongozi wa serikali akisema wanashirikiana na simba kununua marefa....kijana huyu akitoa ushahidi CAF anaweza kusababisha maafisa wengi wa serikali kufungwa jela kabisa na simba kufungiwa..ANA AKILI NYINGI SANA
 
Kulikoni tena,nijuavyo mimi huyu Geofrey Lea, oscar na Jemadari ni simba damu, msameheni tu mtu wenu huyo
 
Back
Top Bottom