Geoff Leah awakebehi wana simba redioni: Asema dawa ya moto ni moto

Jeff Leah mbona siku ya Jumatatu baada ya mechi yenu Simba aliongea vizuri tu na kumshutumu kocha wa orlando katoa malalamiko ambayo si ya kweli,weka ushahidi wa kuthibitisha yeye ndio aliyeandika hizo makala tupate uhakika,Geofrey ni miongoni mwa wachambuzi bora hapa Tanzania na huwa ni mkweli nyie ndio mnaoua mpira wa bongo kwa kutotaka kuambiwa ukweli.
 
weka link ya hizo makala tuone hayo malalamiko yako kama yana ukweli wowote kijana
 
Kulikoni tena,nijuavyo mimi huyu Geofrey Lea, oscar na Jemadari ni simba damu, msameheni tu mtu wenu huy


weka link ya hizo makala tuone hayo malalamiko yako kama yana ukweli wowote kijana
Kamuulize Abi banda yeyeye mwenyewe anashanga ahabari zinaruka ziki cite source ni yeye kumbe ni kanjanja refu la EFM
 
Labda LEAH mwingine siyo Leah huyo, halafu kwanini amlalamikike kocha wa Orlando wakati yeye vyombo vya habari south africa vimenza kumnukuu tangu last year akisema simba inatumia mbinu chafu? na makala kaandika kwenye the kick mwak ajana na mwaka huu?
Yaani baada ya kuwaharibu kisaiokolojia hao wasauzi wakajihisi wanakuja jehanamu leo aje kuwashangaa tena? anywaya napoteza muda kukufanulia kijana wako katangaza leo na kwa masikio yangu nimemsikia kwamba DAWA YA MOTO NI MOTO inaoenakana bado anazo ammunitions za kutosha kuipakaza kinyesi simba
Sisi tunamtakia kila la heri katika jukumu lake hilo zito alilojitwisha sijui katwishwa?
 
kwa hiyo link hakuna tuone alipowachafua Simba?
 
Location si TVE/EFM. Nendeni mkamsubiri anapoingia au kutoka
Ana jukumu zito la kitaifa la kuichafua simba kimataifa kwenye mitandao na makala kwenye magazeti zisizo na jina la mwandishi, natoa ombi asisumbuliwe ili afanye kazi yake hiyo kwa ufasaha hadi simba sc ifungiwe na hao viongozi wa serikali wanaoshirikiana na simba kununua waamuzi kwa mujibu wa zile makala alizotuma kule south africa wakamatwe wote
 
Una uhakika gani kwamba yeye ndio katengeneza hio makala ya Banda?
 
Huyu jamaa yupo too personal anaumia na maisha ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…