Geoffrey Lea rasmi EFm katoka Clouds Fm

Geoffrey Lea rasmi EFm katoka Clouds Fm

Clouds ruge alikuwa anaibeba sana.

Kusaga haitendei haki clouds , nguvu kubwa kaiwekea wasafi media..

Yaani tajiri wenu ana kampuni mbili zinazoshindana.. halafu moja anaiwekea nguvu kubwa , lazima wafanyakazi mjisikie vibaya...msepe
 
Mkuu watu wanahama kufuata malisho mazuri huu ni utaratibu wa kawaida, watu wanapanda dau...hata wewe kama umeajiriwa na mtu akakuona unafanya vizuri anapanda bei.
 
Alikaa Azam miaka miwili mkuu
Jamaa ana hasira mpaka kamwita ma**ya wakati kwenye haya maisha kuna malengo mawili yaani malengo ya kampuni unayofanyia kazi (hapa utaonyesha uwezo wako wa hali mali katika kufanya kazi) lakini pia kuna malengo binafsi (hapa ndio utaona watu wanahama kutoka kampuni moja kwenda nyingine)

Unajua njia pekee ya kuongeza kipato kwenye hizi sekta binafsi, ni kuonyesha uwezo wako lakini pia kama kuna kampuni itakuhitaji kwenda kule kwa kiwango ambacho ni kikubwa maana mara nyingi ni ngumu kuongezewa kiwango cha mshahara pale ulipo hata kama ufanye kazi kubwa namna gani zaidi ya ile nyongeza ya mwaka/miezi 6 au bonus au kukupandisha cheo. Kama isipotokea ya kukupandisha cheo mbinu pekee ni kutoka pale kwenda sehemu nyingine kama alivyoenda AZAM (dau linapanda) alafu unarudi kule ulikotoka baadae kama alivyorudi CLOUDS na kwa vyovyote walipanda dau kubwa.

Mishahara ya sekta binafsi hata kama mbafanya kazi sawa na wengine lakini mishahara huwa ni tofauti hata kama mmeingia pamoja na qualification sawa (wanaangalia huko ulikotoka ulikuwa unapata ngapi na wanapanda kidogo)...hii ni kwa zile taasisi zinazojali ubora sio zile zinazoishi kwa falsafa ya "ukiacha kazi tutaajiri mwingine kuna watu kibao hawana ajira"
 
Clouds njaa Sana kwa style hii wataondoka wengi kipindi kile Cha ruge pamoja na kwamba walikuwa wanalipwa kidogo lakini ruge alikuwa anajua namna gani ya kuhandle
 
Clouds ruge alikuwa anaibeba sana.

Kusaga haitendei haki clouds , nguvu kubwa kaiwekea wasafi media..

Yaani tajiri wenu ana kampuni mbili zinazoshindana.. halafu moja anaiwekea nguvu kubwa , lazima wafanyakazi mjisikie vibaya...msepe
Wasafi mwenye nguvu Ni mondi hata wafanyakazi wa Wasafi hawamfahamu huyo kusaga hapo unamuonea kusaga,kusaga kajikita clouds fm changamoto kubwa ya clouds inachowakuta sasa Ni kukosa program manager mzuri baada tu ruge kufariki yule maganga hamna kitu na Kuna kipindi walimuweka Hadi shaffihdauda kiufupi wanaboronga Sana.
 
Hawataki kabisa kumwonyesha kwamba Diamond ndio CEO hata kama hisa zake ni chache kidogo ila hawaelewi kwamba unaweza ukawa na hisa kidogo ila jina lako au uzoefu wako katika kazi flani ikakufanya wewe kuwa kiongozi mkuu hata kama hisa zako.
 
@JodokiKalimilo Kitu ambacho wanashindwa kuelewa Ni moja Diamond Ni founder wa Wasafi media na ndio CEO wa Wasafi maamuzi yote ya Wasafi wanafanywa na Diamond kusaga Ni sehemu tu ya wawekezaji lakini Hana mamlaka yoyote ndani ya Wasafi so why uwezi kumkuta board ya Wasafi utamkuta Diamond ndio anatoa maono ya company mfano mzuri kwenye kipindi Cha big Sunday live ndio alikuwa creative production hata ukiwasikiliza wafanyakazi wake Kama maulidi kitege alisema kabisa maamuzi yake ndio yanakuwa final.Ndio maana Diamond ndio anaonekana anafight Sana ku make sure Wasafi media inapiga hatua kubwa.
FRESHMAN
 
Wasafi mwenye nguvu Ni mondi hata wafanyakazi wa Wasafi hawamfahamu huyo kusaga hapo unamuonea kusaga,kusaga kajikita clouds fm changamoto kubwa ya clouds inachowakuta sasa Ni kukosa program manager mzuri baada tu ruge kufariki yule maganga hamna kitu na Kuna kipindi walimuweka Hadi shaffihdauda kiufupi wanaboronga Sana.
Siku hizi unajitahidi kuwaza, kuna kipindi ulikuwa blinded na WCB
 
Nnachokiona ni kwamba watangazaji wa hapo clouds walikuwa hawaondoki kipindi ruge yupo sio kwamba walikuwa wameridhika bali walikuwa wanamuogopa ruge, na hata wale wachache waliokuwa wanathubutu kuondoka walikuwa kama wana ka uoga fulani hivi kama hawajiamini, yule baba cjui alikuwa na kitu gani jamani yani alikuwa anaogopewa kwenye hii industry si mchezo, yani sio wasanii, sio watangazaji yani hata kusaga mwenyewe alikuwa hathubutu kumbishia yule jamaa. Its like Sasahivi finally they are free
 
Back
Top Bottom