Geographia ya SUA


Nani asiyeijua SUA! Wewe kile ni chuo cha umma lazima ukweli usemwe, hata kama wewe ni Prof pale basi uyajue hayo,,,,, tena ni heri enzi za Prf Msolla alijua mipaka ya disco kwa wanachuo
 
katika sua irrigation and water resources ingenering ipo kwenye facult gani na department gani kwa anae juaa naomba kujua
 
katika sua irrigation and water resources ingenering ipo kwenye facult gani na department gani kwa anae juaa naomba kujua

Pakua kwenye Prospectus yao, mengine u-google mwenyewe.
 
Mkude Simba anahuaika kwa saana!!!!

Tehe eeeh aiiih, Bwakilaaah!!! Watu wanakuja Sua eti wasome digilii, aaaah wataweza kweli wakati sie tumeshindwa kuhamisha huo mlima walipojenga hicho chuo chao..... Mkude ukae pale Msamvu uangalie wanatoka nkoa gani?
 
Sio first year wote wanaoreport campus ya solomon mahlangu ila kuna baadhi ya kozi zilizoteuliwa kusoma kule tena kwa miaka yote mi3 ikiwemo education, environmental science, rural, aea etc. Lakini first year wengine wanaripoti kule kule main campus na wanasoma kule miaka yote.
 

Kiongozu naomba unipe tathmini ya kozi B.Sc environmental science and management ikoje hapo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…