Jerhy
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 3,134
- 998
Ukisema wahadhiri wengi wa SUA ni kina Shomire utakuwa unakosea maana SUA ni taasisi kubwa yenye vitivo na idara kadhaa. Nakushauri ukarejee kufanya tafiti zako ili ujue ni katika idara/vitivo gani ratio ya hao kina shomire ni kubwa au ndogo ukilinganisha na wengine. Hii ni kwasababu zipo baadhi ya idara huwezi mpata mhadhiri wa namna hiyo na hata kwenye senate hali yaweza kuwa hivyo hivyo. Ebu nikuulize, ulipofanya huo utafiti wako uligundua SUA ina wahadhiri wengi wa Mkoa gani? ACHA MASUALA YA KUJA KUONGELEA UKABILA KWENYE MAENEO KAMA HAYA, HATA KAMA HAO KINA SHOMIRE NI WENGI BASI NI PONGEZI KWAO NA WENGINE INABIDI TUJIFUNZE TOKA KWAO SIYO KULALAMIKA MARA UKABILA, UKANDA, UDINI. HII NI SAWA NA CHURA APIGAVYO KELELE KANDO KANDO YA DIMBWI LA MAJI UKIMSOGELEA ANANYAMAZA.
Nani asiyeijua SUA! Wewe kile ni chuo cha umma lazima ukweli usemwe, hata kama wewe ni Prof pale basi uyajue hayo,,,,, tena ni heri enzi za Prf Msolla alijua mipaka ya disco kwa wanachuo