Geor Davie ni nani?

Unamtambuaje nabii wa uongo!? Papa wenu akilindwa kawaida! Ila wazee wa upako wakilindwa mnawaita manabii wa uongo!! Bado cjalidhika na hoja yako. Fafanua zaidi!
Wee wee wee!! Papa ni mkuu wa nchi ya Vatican, huyo kiti hana hata shamba zaidi ya kiwanja alichopangishwa san sana kwa miaka isiyozidi 99
 
Angekuwa mtu wa YESU kwa maana halisi asingeweza kuishi kifahari namna hiyo huku waumini wake wakifa kwa matatizo madogo madogo. Huyu ni mbinafsi anayejua kufaidika na wajinga.
 
walitaka awe maskini awaombe msaada
 
Angekuwa mtu wa YESU kwa maana halisi asingeweza kuishi kifahari namna hiyo huku waumini wake wakifa kwa matatizo madogo madogo. Huyu ni mbinafsi anayejua kufaidika na wajinga.

Nadhani pia anaujua ule mstari wa biblia unaosema UKITAKA KUOKOKA KAUZE VYOTE PESA UKAWAPE MASKINI KISHA UNIFUATE
 
Ulinzi wanini kama yeye ni mtumishi wa MUNGU malaika wanatosha sana ukiona mtu anaulinzi mkali jua anamaadui wa kimwili wengi
 
Leo sitofautiani na wewe. Wajinga wanaliwa lakini tunaojitambua tunajua kuwa wanayofanya hao manabii wa uongo ni kutimiza UNABII wa Yesu, maana hao tayari walitabiriwa. Hapo shetani yuko kazini

safi sana kumbe unajua yesu ni NABII tu
 
Haleuyaaa mimi mtoaji mapepo mzuri sana. Nishamtoa mapepo matumbo
 
Last edited by a moderator:
mtumishi wa mungu anaogopa nini ulinzi wote huo?

Wajinga ndio waliwao.

Wewe ninakuona unanifuata futa nimekukosea kitu gani wewe? Umetumwa na watu nini? au unatafuta Umaarufu kwa kupitia kwangu nini? Tafadhali jeheshimu utaheshimiwa.
Security is just a simple common sense. Certain measure may be taken when there's security concern . It is simple common sense. Jesus took security measures when such need arose . Paul took security measures when such need arose . If a man of God feel the need of measures in the face of robbery , assassin or kidnappers , he is free to take such measure according to his level of faith. That doesn't take away prayers. Because after all theses measures have been taken . We don't put faith in them . Safety is still by God. But the physical measures can prevent some evil
 
Wewe ninakuona unanifuata futa nimekukosea kitu gani wewe? Umetumwa na watu nini? au unatafuta Umaarufu kwa kupitia kwangu nini? Tafadhali jeheshimu utaheshimiwa.

This forum is created for exchange of ideas. I'm not interested to dig more ditches but to build more bridges.
I'm sorry if you were offended by what I said!
 
Na wewe kwanini hufunguwi kanisa lako uwapate wafuasi kama alivyowapata huyu Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie na Wewe uwe Nabii.@Ishmael? Utafunguwa lini hilo Kanisa lako mimi nitakuwa mfuasi wako wa kwanza unasemaje?
 
Ghorofa la
Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie

Matayo 19:23-24

Hatari Za Utajiri

23 Kisha Yesu akawaambia wanafunzi, "Nawaambieni kweli, itakuwa vigumu kwa mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni. 24 Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni."
 
Attachments

  • 1geodavie.jpg
    42.7 KB · Views: 654
Na wewe kwanini hufunguwi kanisa lako uwapate wafuasi kama alivyowapata huyu Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie na Wewe uwe Nabii.@Ishmael? Utafunguwa lini hilo Kanisa lako mimi nitakuwa mfuasi wako wa kwanza unasemaje?
Maalim MziziMkavu unasema kweli, cha maana ni kufundisha neno la Mungu kwanza, halafu mengine yanafuata.
 
Maalim MziziMkavu unasema kweli, cha maana ni kufundisha neno la Mungu kwanza, halafu mengine yanafuata.
Kwanza ni Utajiri halafu Neno la Mungu litakuja baadae Twende Nigeria tukajifunze mambo ya kufanya Miujiza unasemaje? kule kuna Askofu anayefanya miujiza na ni Tajiri sana si unamjuwa yule Askofu mkuu Tajiri wa Ki Nigeria?
 
Kumbe naye huyu.@Ishmael Nabii wa Uongo aliowataja Bwana Yesu kwenye injili ? kazi kweli ipo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…