Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Yeah!!, huyo ndio mheshimiwa nabii Geo Davie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagalatia AMKENI!
Mnaibiwa mchana kweupe.
Nyie mnadhani mnamchangia bwana yesu kumbe jamaa anatanulia hio michango yenu.
Msipochunga na Motoni pia Mtatumbukia hivyo hivyo.
Muacheni ale hela za wavivu wa kufikiri.
Muacheni ale hela za wavivu wa kufikiri.
Ulimbukeni, ujinga na upumbavu wetu watanzania, hayana tofauti na ya kina kakobe, mwingira, gwajima, masangoma matapeli mjini kina maji marefu na manyaunyau...
Waumini hela ya Kula shida Lkn Jamaa Anatawazia maji ya Chupa.
Hizi imani zingine ni majanga tu.
Ama kweli wajinga ndio wali wao.
Leo sitofautiani na wewe. Wajinga wanaliwa lakini tunaojitambua tunajua kuwa wanayofanya hao manabii wa uongo ni kutimiza unabii wa Yesu, maana hao tayari walitabiriwa. Hapo shetani yuko kazini
Haya mambo yote kwene Bible yamesemwa, hapo shetani yuko kazini na watu wamefungwa akili wasifikiri, wamefungwa macho wasione, wamefungwa masikio wasisikie.
yesu alikuja kutumikia sio kutumikiwa jibu ni rahisi ni nabii wa UONGO.
Sio hivyo tu, alikuwa na kanzu ngapi? Hata punda hakumiliki zaidi ya kuombaHivi Yesu alikua na b/guard?