Geor Davie ni nani?

Geor Davie ni nani?

Hizi dini ni ngumu. Muda si mrefu mtasikia anaweka utaratibu wa kuwahutubia waumini wake kila mwezi kupitia luninga na redio. Masikini waumini!!!
 
Kama wewe unahtaj kuwachunga kondoo wako una haja gan ya kua na ma body guard na ulinz mkubwa vile..... Naamin yesu na mtume hawakua na mabody guard wala kk securty ila siku hzi naona ndio fashen mmmh haya iman yako rohon mwako na kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake
 
Wajinga ndio waliwao.

Huyo ni baa, hata namba za gari lake zinayakinisha.
 
waumini maskini wakutupa na wanamtolea sadaka,his god is not fare at all ilitakiwa bada yake ijae helicopter,vogue na benz zote za waumini
 
Anatumia vibaya kodi zetu, hawa maafande hawana shughuli nyingine au ndio wanatafuta allowance zao hapo.
 
Sijachangia chochote kuhusu huyu mtu anaeongelewa hapa

Kutokuchangia pia ni mchango, ni heri kuwa moto au baridi kuliko kuwa vuguvugu...sijui kma wanielewa!!!
 
  • Thanks
Reactions: ram
Si kwamba huyu anamtafuta Mungu, la hasha, bali hizi ndo dalili za kuja kwa Yesu

Well said Mkuu, Yesu yu karibu kurudi na hizi ndizo dalili. Mwenye kuelewa hili na ajiandae maana mwisho u karibu zaidi ya tunavyofikiri.
 
Manabii wa uongo mtawapata hao hao mataahira manina zao manabii wa kishenzi wote ndiyo maana sitaki kusikia makanisa ya nguvu za giza

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
itakuwa ni vigumu sana kwa tajiri kuuona achilia mbali kuuingia mlango wa ufalme wa mbinguni.. hongera mchungaji kwa kuwafanya wajinga kuwa makondoo yako wakidhania mbinguni ni sawa na kwenda sokoni
 
Tungepata historia yake ya alipotoka kazi alizokuwa akifanya kabla ya kuanza huduma na ni kwa namna gani alivyoibuka ghafla na wengine ingetusaidia/kutupa mwanga wa kuweza kumjua vizuri kwa sisi tunaomsikia kwa mara ya kwanza
 
Huyu nabii alisababisha kizaazaa arusha baada ya kupora mke wa mtu.
 
Tungepata historia yake ya alipotoka kazi alizokuwa akifanya kabla ya kuanza huduma na ni kwa namna gani alivyoibuka ghafla na wengine ingetusaidia/kutupa mwanga wa kuweza kumjua vizuri kwa sisi tunaomsikia kwa mara ya kwanza

ni muiraq, alikuwa mtangazaji wa redio moja ngaramtoni arusha.. baada ya kupata upako nigeria ndio kawa nabii
 
ni muiraq, alikuwa mtangazaji wa redio moja ngaramtoni arusha.. Baada ya kupata upako nigeria ndio kawa nabii

c kweli mnyaturu wa singinda mke wake ni mmarangu wa moshi.mke wake ndye alikuwa mtangazaji wa safina radio.
 
Tuwe macho swali kwanini anatumia ulinzi mkari wa duniani kuliko hata yesu ?maana alisema nitawaatamia. kwahiyo yesu si zaidi ulinzi wa duniani? naombeni majibu.
 
Back
Top Bottom