Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijachangia chochote kuhusu huyu mtu anaeongelewa hapa
Si kwamba huyu anamtafuta Mungu, la hasha, bali hizi ndo dalili za kuja kwa Yesu
kwn aliyofanyiwa pope hawezi kufanyiwa yy?
Alikuwa na thenashara na kundi la watu wengine kama matabibu n.k...
Tungepata historia yake ya alipotoka kazi alizokuwa akifanya kabla ya kuanza huduma na ni kwa namna gani alivyoibuka ghafla na wengine ingetusaidia/kutupa mwanga wa kuweza kumjua vizuri kwa sisi tunaomsikia kwa mara ya kwanza
ni muiraq, alikuwa mtangazaji wa redio moja ngaramtoni arusha.. Baada ya kupata upako nigeria ndio kawa nabii