RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
mtumishi wa mungu anaogopa nini ulinzi wote huo?
kwani POPE anaogopa nini na ulinzi wote ule??!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtumishi wa mungu anaogopa nini ulinzi wote huo?
Kumwita "nabii wa uongo" ni kosa pia huyo si nabii kabisa yaan hana nasibu yeyote ya kinabii ,ni sawa na mwanamume shoga kumwita "mwanamke wa uongo" hilo ni shoga tu si janajike wala janadume dubwana tu! ndio hiyo mitapeli ya imani tuliyonayo hapo au mijambazi inayojificha katika kichaka cha huduma za kiroho au 'akili' maana nahisi wadau wao kama wameshikiwa akili zao!
kwani POPE anaogopa nini na ulinzi wote ule??!
Ndio huyo huyo....
unakumbuka pope john paul ii alifanywa nini na yule jamaa mfuga ndevu...?
Unaangaika nn na mtu ambae haelew anachozungumza n nn? mwache, huna haja ya kumjibu unapoteza muda, angalia angalia hata thread nyingne unaweza jifunza kitu
Mkuu inasikitisha sana...Yani waumini wake ni kama wamepigwa upofu kabisa.....
Huwa nawaonea huruma sana....
Mwenye akili finyu ataamini kuwa ni muumini wa haki lakini kwa utajiri alionao utakuta simu yake ina namba za drug barons wa mexico na Colombia. Na ndio maana ana ulinzi mkali hivyo