Geor Davie ni nani?

Geor Davie ni nani?

Kumwita "nabii wa uongo" ni kosa pia huyo si nabii kabisa yaan hana nasibu yeyote ya kinabii ,ni sawa na mwanamume shoga kumwita "mwanamke wa uongo" hilo ni shoga tu si janajike wala janadume dubwana tu! ndio hiyo mitapeli ya imani tuliyonayo hapo au mijambazi inayojificha katika kichaka cha huduma za kiroho au 'akili' maana nahisi wadau wao kama wameshikiwa akili zao!

Mkuu kawateka akili wafuasi wake moja kwa moja...
 
Mwanae nisher (video director) anakula anasa huku arusha. Anadinya warembo wa kanisani kwano ni balaa.
 
Mna wivu sna mbona hata kapeti nyekundu anayotandikiwa hamsemi?mwacheni mtumish wa mungu afanye kaz yake.
 
hao hao wanaoshangaa chopa ya mtumishi wa mungu, hawashangai chopa 3 za chadema. Chopa si usafiri tu?
 
Watu mna mashaka kweli basi c.a.g. Takukuru na dpp watusaidie!!!! Hakuna jambo linalo kuja kirais rais
 
Tena ukikutana nao ukijaribu kuwatoa tongo tongo wanakuwa wakali kuliko pilipili mbuzi

Mkuu inasikitisha sana...Yani waumini wake ni kama wamepigwa upofu kabisa.....

Huwa nawaonea huruma sana....
 
Hivi nabii maana yake nini?
Mbona sijawahi kusikia hawa manabii wa nchi hii wakitoa unabii wowote?
 
Mwenye akili finyu ataamini kuwa ni muumini wa haki lakini kwa utajiri alionao utakuta simu yake ina namba za drug barons wa mexico na Colombia. Na ndio maana ana ulinzi mkali hivyo
 
Wewe pimbi jalibu kufikili ata kwa kutumia kitovu,kama huna ubongo.Gazeti lenyewe ni la udaku,mbona mimi naishi karatu sijawahi kuona hata msafara wa M ENDE,hujiulizi,mbona KARATU ipo ARUSHA na Siyo MANYARA?.hali ya kubumba hiyo,tafuta MAZUZU wenzio.
 
Jamani eee, anakula kwa nafasi yake. Tutapiga keleleee lakini hatusaidii jamii hii ya Tz. Huyu anakula anakojua, je hawa wanaokula kodi zetu kwa Katiba viza mbona hatuwakemei?? Ale tu, alindwe na chopa, azungukwe na magari, lakini zangu hali simpelekei miye. Wanaopeleka wapeleke. Huwez niambia nimpelekee wakati miye nimeenda kwa miguu naye akaja kifahari hivyo.
Jiulize, hiyo gharama ya ulinzi mkuu hivyo ingesaidia makanisa yake mangapi tunayo yaona huku kwetu, yapo kwenye turubali zilizochoka kuliko, si awanunulie mabati?? Nakuambia waumini wake wamelogwa, wameshikwa fahamu zao na akili zao zote. Hao polisi sawa, wanachotaka posho tuuu lakini siwezi enda hapo nikadanganywe mchana peupe.
 
Ikiwa ana mtumikia Mungu tu na hana mambo mengine yanayoweza kusababishia maadui wengi wa mwilini....ulinzi wote huu mpaka kukodi askari wa nini?
 
Mwenye akili finyu ataamini kuwa ni muumini wa haki lakini kwa utajiri alionao utakuta simu yake ina namba za drug barons wa mexico na Colombia. Na ndio maana ana ulinzi mkali hivyo

umesahau hawara zake, ambao wengi ni wake za watu.
 
Back
Top Bottom