Geor Davie ni nani?

Geor Davie ni nani?

Hivi kuna shehe bilionea!Mungu wa kweli(sio alla)ni mwema angetunuku huo utajiri kwa mashehe wangekuwa wafadhili wa ugaidi.UMASKINI kwa wengine sio wa kupiga vita kama unavyodhania
 
Kwani kuna uhusiano gani kati ya huyu George na Gwajima? Maana niliyesikia amenunua helikopter siku za hivi karibuni ni Gwajima.

Tiba
 
Nabii gani badala ya kuwahurumia mazuzu yeye ndio anayatafunia sadaka zao. Usanii mtupu.
 
Nazani ni dalili za watanzania kukata tamaa na maisha na kufikia kumuamini mtu mmoja kiasi hicho
 
Muacheni ale hela za wavivu wa kufikiri.

Ulimbukeni, ujinga na upumbavu wetu watanzania, hayana tofauti na ya kina kakobe, mwingira, gwajima, masangoma matapeli mjini kina maji marefu na manyaunyau...
 
Haya mambo yote kwene Bible yamesemwa, hapo shetani yuko kazini na watu wamefungwa akili wasifikiri, wamefungwa macho wasione, wamefungwa masikio wasisikie.
 
Waumini hela ya Kula shida Lkn Jamaa Anatawazia maji ya Chupa.

Hizi imani zingine ni majanga tu.
Ama kweli wajinga ndio wali wao.

Leo sitofautiani na wewe. Wajinga wanaliwa lakini tunaojitambua tunajua kuwa wanayofanya hao manabii wa uongo ni kutimiza unabii wa Yesu, maana hao tayari walitabiriwa. Hapo shetani yuko kazini
 
Leo sitofautiani na wewe. Wajinga wanaliwa lakini tunaojitambua tunajua kuwa wanayofanya hao manabii wa uongo ni kutimiza unabii wa Yesu, maana hao tayari walitabiriwa. Hapo shetani yuko kazini

Wagalatia ni watataa !
 
Wanamtajirisha wenyewe kwa hila na ila........Wajinga ndio waliwao
 
Haya mambo yote kwene Bible yamesemwa, hapo shetani yuko kazini na watu wamefungwa akili wasifikiri, wamefungwa macho wasione, wamefungwa masikio wasisikie.

Kule Kenya kuna 'Nabii wa Kigalatia' ana Daftari la majina ya waendao peponi (Mbinguni)......unalipa Ksh 2,000/- kuangalia jina lako !
 
yesu alikuja kutumikia sio kutumikiwa jibu ni rahisi ni nabii wa UONGO.

Unamtambuaje nabii wa uongo!? Papa wenu akilindwa kawaida! Ila wazee wa upako wakilindwa mnawaita manabii wa uongo!! Bado cjalidhika na hoja yako. Fafanua zaidi!
 
Back
Top Bottom